Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Angalia mechi ya Coastal union Na Singida United..magoli yanafungwa marefa wanakataa....morali ya wachezaji ikashuka..Mikia msingetufungaKaka Pole Sana unateseka Sana siku hizi,Yanga mmelalamika kipindi kirefu tangu lini??wakati ule hesabu zikipigwa hata tukishinda zote sisi Simba bado tulikuwa nyuma yenu kwa point 5 mlikuwa mnalalamika Simba wananunua??baada ya kuwafunga mlipoona hesabu zikipigwa tunawapita point 5 ndio mmepagawa na kulalama muda wote!!#KilaMtuAshindeMechiZakeTutapigianaHesabuTukiwaKileleni
Sent using Jamii Forums mobile app