Ni dhahiri sasa TPL inahusishwa na kashfa za upangaji wa matokeo

Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...

Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....

Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.

Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.

Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Ko Yanga anaposhida nae anatoa pesa, au unataka kutuaminisha kua timu ya Yanga ni bora zaidi kuliko simba? ( muulize Zahera).
Yani kuna watu mnatia aibu sana hivi Yanga na stand utd ipi timu kubwa ? Yanga kufungwa na simba, simba ni timu bora, ila stand kufungwa na simba, simba anatoa pesa?
Sometimes ni vizr tu mkakubaliana na ukweli ili muangalie wapi mmekosea hadi kupoteza mechi kwa mtani wenu. Yanga muache kuwadaa mashabiki wenu kujifisha kwenye kivuli cha simba kununua mechi ili tu mashabiki wenu wasiwahoji.
La mwisho Yanga mjitathmini huko nyuma mkifungwa na simba ilikua inakua ajenda hadi kocha mnatimua,Leo hii mnamiaka mitatu hamjaonja ushindi kwa watani wenu lakini mmeridhika tu.
Umasikini ni mbaya sana, Leo hii kwa sababu ya umasikini Zahera anaweza akaamua kufanya chochote ndani ya Yanga ni msimuhoji, Zahera kapoteza mechi na stand utd, katoa sare na singida, kaja kufungwa na simba lakini Anawashika wanayanga hata kumuhoji hamna na kibaya zaidi munaimba wimbo wake.
Timu zinapofanya vibaya tuwe tunajitathmini badala ya kutafuta sababu ambazo hazitatusaidia.
Mwisho TFF ndo mnalea haya mambo haiwezekani mtu anajiropokea tu afu hatua hazichukuliwi juu yake. Hawa makocha wanaotoa tuhuma kwa marefa wekeni sheria wachukuliwe hatua,ndo mana mpira hauendelei kwa sababu kocha anaacha kuangalia kiufundi wapi amekosea arekebishe anawasingizia marefa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa

Kwa hiyo kushinda kwa kutengenezewa mazingira ndiyo mpira wetu utaendelea? Hebu jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa chako mkuu, maelezo marefuuu ndani pumba tupu, mfyuuuu.
 
Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...

Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....

Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.

Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.

Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio tulivyowafunga nyie tuliwapa muamala pia? Kwanini simba akishinda mnasema ni muamala? Akili ndogo hizi!! Mbona nyie mnashinda na hatusemi kitu. Acheni uoga chezeni match zenu na changieni timu yenu [emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lisemwalo lipo nyie mikia,mtaingia tu kwenye 18 ya takukuru km mlivyoingiaga kipindi cha nyuma lakini watu wakafunika,serikali hii ya magu muombee sana yasiwakute kama yale ya shaban kado na nsa job
 
Nasubiri wazee wa kipyenga watufafanulie magoli ya Simba Vs Stand.
 
Kwa

Kwa hiyo kushinda kwa kutengenezewa mazingira ndiyo mpira wetu utaendelea? Hebu jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa chako mkuu, maelezo marefuuu ndani pumba tupu, mfyuuuu.
Ukiwa unasoma kwa mahaba yako ni vigumu kuelewa, ila kwa vile umeruhusu akili yako iwe hivyo baki ka ulivyo.
Ila una nafasi ya kuenda beyond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa kwa hii Miamala ndiyo maana wakienda nje wanapigwa hamsa hamsa na kuliia aibu taifa
 
Yanga alipewa ngapi akauza?.. Yanga ndio ana timu nzuri ya kushinda kuliko Simba eti?

Mfa maji.....
 
  • Thanks
Reactions: Tui
lisemwalo lipo nyie mikia,mtaingia tu kwenye 18 ya takukuru km mlivyoingiaga kipindi cha nyuma lakini watu wakafunika,serikali hii ya magu muombee sana yasiwakute kama yale ya shaban kado na nsa job
Malinzi mbona humtaji?... Msuva peke yake msimu mmoja alipiga penalt zaidi ya 7.
leo simba akipata penalt eti kabebwa...

Changieni timu yenu acheni ujinga
 
  • Thanks
Reactions: Tui
MIKIA FC wataalam hao muamala.
Na kweli na njaa inayewakabili mmenunuliwa kwa bei ya nyanya.
Sioni ajabu kwani Zahera ndio anasema bingwa atakuwa Simba!Kakatiwa bila kuwagawia wenzake ndio maana kelele zimezidi.
Kabwili ka play part yake bila kupewa mgao..
Alikwepa wazi goli la kichwa liilofungwa na Kagere.
Ujinga ni maradhi. On the other side kama uwezo ni mdogo itabidi utafute visingizio.
 
Back
Top Bottom