Ko Yanga anaposhida nae anatoa pesa, au unataka kutuaminisha kua timu ya Yanga ni bora zaidi kuliko simba? ( muulize Zahera).Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...
Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....
Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.
Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.
Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kuna watu mnatia aibu sana hivi Yanga na stand utd ipi timu kubwa ? Yanga kufungwa na simba, simba ni timu bora, ila stand kufungwa na simba, simba anatoa pesa?
Sometimes ni vizr tu mkakubaliana na ukweli ili muangalie wapi mmekosea hadi kupoteza mechi kwa mtani wenu. Yanga muache kuwadaa mashabiki wenu kujifisha kwenye kivuli cha simba kununua mechi ili tu mashabiki wenu wasiwahoji.
La mwisho Yanga mjitathmini huko nyuma mkifungwa na simba ilikua inakua ajenda hadi kocha mnatimua,Leo hii mnamiaka mitatu hamjaonja ushindi kwa watani wenu lakini mmeridhika tu.
Umasikini ni mbaya sana, Leo hii kwa sababu ya umasikini Zahera anaweza akaamua kufanya chochote ndani ya Yanga ni msimuhoji, Zahera kapoteza mechi na stand utd, katoa sare na singida, kaja kufungwa na simba lakini Anawashika wanayanga hata kumuhoji hamna na kibaya zaidi munaimba wimbo wake.
Timu zinapofanya vibaya tuwe tunajitathmini badala ya kutafuta sababu ambazo hazitatusaidia.
Mwisho TFF ndo mnalea haya mambo haiwezekani mtu anajiropokea tu afu hatua hazichukuliwi juu yake. Hawa makocha wanaotoa tuhuma kwa marefa wekeni sheria wachukuliwe hatua,ndo mana mpira hauendelei kwa sababu kocha anaacha kuangalia kiufundi wapi amekosea arekebishe anawasingizia marefa.
Sent using Jamii Forums mobile app