Ni dhahiri sasa tunakwenda kwenye kampeni za ama tupige kura au lah sio Rais na Wabunge tena

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu.

Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia rasilimali nyingi sana kujenga uwezo na mifumo ya uchaguzi tusikubali hasara ya kurudi nyuma na kubomoa tuliyokwisha kuyajenga
 
Mkuu kama umemwelewa Polepole vizuri - kwa mfumo wa sasa kupiga kura ni kuichagua Sisiemu.

Pia kutopiga kura, kura hiyo hiyo ambayo haikupigwa inakuwa amepigiwa Sisiemu🤣🤣🤣
 
Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu.

Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia rasilimali nyingi sana kujenga uwezo na mifumo ya uchaguzi tusikubali hasara ya kurudi nyuma na kubomoa tuliyokwisha kuyajenga
Pole pole kaipa nguvu hii slogan
20250729_010133.jpg
 
Back
Top Bottom