Japo mtoa mada ni utopolo ila kuna ka- ukweli ameandika.
Haji sauti yake ni ya ki- mamlaka hivyo anavutia hata ukimsikiliza na kwa matukio kama hayo anafit.
Ahmed sauti yake sio ya ki-mamlaka. Kwa matukio ya jana amejitahidi sana kwa kuwa ile ilikuwa ni mara ya kwanza kufanya matukio kama yale.
Pia kuna makosa machache aliyafanya Ahmed kwenye utambulisho;
1. Alishindwa kutaja jina la mchezaji mgeni, badala yake akasema Mzunguu, Mzunguu. (Ile ni sawa na unyanyapaa wa rangi ya mtu)
2. Hakusema chochote kuhusu Hasani Dilunga kama ameachwa au bado ni sehemu ya timu.