Ni dhahiri shairi kuwa Ahmed Ally hawezi u-MC

Nani alikwambia kuwa ameajiliwa kuwa MC????
 
Alikuwa anarudiarudia tu maneno kama mtoto wa chekechekea
 
Tumpe mda ni mara yake ya kwanza kushiriki moja kwa moja kwenye tamasha kama lile naamini kuna kitu amejifunza.
 
Yanga walisema nini kuhusu kabwili ameachwa au yupo yanga mbona hajaonekana siku ya mwanachi.
 
Sahv namwita namwita mdhungu mdhuuungu mdhuuuuuungu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ulivyomalizia ndo utambulisho wako. Aibu sana mtu wa Yanga kujihusisha na mambo ya Simba. Tunakushukuru sana kwa kuacha kazi zako na kuja kutuunga mkono. THIS IS SIMBA.
Let mzunguu ndio jins ya kutambulisho wachezaji oneni sasa mnavyo chorwa na jamii kila Mahal letee mzunguuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…