Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Wakati Azam wanafanya kwa Fei ilikuwa kushangilia ila sasa hv imekuwa vurugu.
Kiufupi mashabiki ya Simba ni mbumbumbu! Sasa kama mmeshindwa kumpa mkataba akienda timu nyingine mtanuna? Chama ameamua kuondoka kwa sababu viongozi wameshindwa kutimiza wajibu wao na ndiyo maana hayajaenda na timu huko uturuki!
 
Jezi wameuza 40K ili wa-bust kibubu maana sijajua kwa kigezo gani kingine tofauti na hicho kwakua ubora ni zero.

Mifuo miwili ya jezi tayari imeanza kukunjamana kama dekio.

Haya na saizi naskia kwenye kigodoro chao hiyo 22 wametangaza kiingilio cha chini ni 10K.

Ni umasikini tu
duhhh kigodoro tena
 
dahhh kigodoro teba😁
 
Mlipeni hela zake chama na ndio maana anaunga mkono kwa 100 kauli ya babra,mkiachwa achikeni makolo
Screenshot_20230713-163747_Instagram.jpg
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Kwani Hana mkataba? Kama ana mkataba inatakiwa wairubuni Simba imwachie, kama amemaliza mkataba na ni free Kila timu Ina haki ya kumshawishi wapate sahihi yake
 
Simba huwa hamjielewi kama viongozi wenu tu! Hii issue mbona inatolewa ufafanuzi na TFF zamani tu kwamba Yanga walishafabya malipo kama walivyoagizwa na FIFA ndani ya siku 45 tangu waachane na kocha wao! Shida ilikuwa kwenye system ya FIFA, wao walikuwa wanatumia e-mail kumbe FIFA ilishaachana na utaratibu huo kitambo! Kama wamefungiwa kusajili mbona wanatangaza wachezaji wapya?
Siku 45 walizoagizwa na FIFA zilipita bila kumaliza na hii anaisema mdai mwenyewe kuwa alipokea malipo kiasi ambayo hayakuwa kamili.

Na ndio maana hata Ally Kamwe alishindwa kuthibitisha kuwa wamemalizana na Lucy Eymael alipoulizwa.
 
Kwani hapa tunafanya nini?

Contract ya Chama na Simba ni mpaka 2024 na market value yake ni 2.3B sasa kama una hela nenda kaweka offa hiyo mezani wakuuzie.
Kwani si tulikubaliana mchezaji akitaka kuhamia timu nyingine anaweza kununua mkataba wake na kuondoka! Yaani kama alivyotaka kufanya Fei Toto kipindi kile!!

Sasa unataka tukae mezani kufanya nini tena?
 
Anunue hakuna shida naona huu upepo wenu wa kutaka watu wafuatilie habari zenu za wiki ya mwananchi baada ya kuona zinabuma na mayele haeleweki
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Fita ni fita mraaaa kalie kwenu
 
Hizo

Hizo nguvu za giza zinakemewaje sasa? mbona kama mmepanic?
 
Kwani si tulikubaliana mchezaji akitaka kuhamia timu nyingine anaweza kununua mkataba wake na kuondoka! Yaani kama alivyotaka kufanya Fei Toto kipindi kile!!

Sasa unataka tukae mezani kufanya nini tena?
Article namba 17 ya Fifa inasema

"Mchezaji yeyote aliyesaini mkataba na Club akiwa na umri chini ya miaka 28 anajwezo wa kununua mkataba wake baada ya miaka mitatu tangu mkataba usainiwe"

Angalia hiyo article kisha relate na Chama
 
Back
Top Bottom