Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Wakati Azam wanafanya kwa Fei ilikuwa kushangilia ila sasa hv imekuwa vurugu.
Kiufupi mashabiki ya Simba ni mbumbumbu! Sasa kama mmeshindwa kumpa mkataba akienda timu nyingine mtanuna? Chama ameamua kuondoka kwa sababu viongozi wameshindwa kutimiza wajibu wao na ndiyo maana hayajaenda na timu huko uturuki!
 
duhhh kigodoro tena
 
dahhh kigodoro teba😁
 
Mlipeni hela zake chama na ndio maana anaunga mkono kwa 100 kauli ya babra,mkiachwa achikeni makolo
 
Kwani Hana mkataba? Kama ana mkataba inatakiwa wairubuni Simba imwachie, kama amemaliza mkataba na ni free Kila timu Ina haki ya kumshawishi wapate sahihi yake
 
Siku 45 walizoagizwa na FIFA zilipita bila kumaliza na hii anaisema mdai mwenyewe kuwa alipokea malipo kiasi ambayo hayakuwa kamili.

Na ndio maana hata Ally Kamwe alishindwa kuthibitisha kuwa wamemalizana na Lucy Eymael alipoulizwa.
 
Kwani hapa tunafanya nini?

Contract ya Chama na Simba ni mpaka 2024 na market value yake ni 2.3B sasa kama una hela nenda kaweka offa hiyo mezani wakuuzie.
Kwani si tulikubaliana mchezaji akitaka kuhamia timu nyingine anaweza kununua mkataba wake na kuondoka! Yaani kama alivyotaka kufanya Fei Toto kipindi kile!!

Sasa unataka tukae mezani kufanya nini tena?
 
Anunue hakuna shida naona huu upepo wenu wa kutaka watu wafuatilie habari zenu za wiki ya mwananchi baada ya kuona zinabuma na mayele haeleweki
 
Fita ni fita mraaaa kalie kwenu
 
Hizo
Hizo nguvu za giza zinakemewaje sasa? mbona kama mmepanic?
 
Kwani si tulikubaliana mchezaji akitaka kuhamia timu nyingine anaweza kununua mkataba wake na kuondoka! Yaani kama alivyotaka kufanya Fei Toto kipindi kile!!

Sasa unataka tukae mezani kufanya nini tena?
Article namba 17 ya Fifa inasema

"Mchezaji yeyote aliyesaini mkataba na Club akiwa na umri chini ya miaka 28 anajwezo wa kununua mkataba wake baada ya miaka mitatu tangu mkataba usainiwe"

Angalia hiyo article kisha relate na Chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…