Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Naona uko 'busy' sana mkuu 'Muuza kangala'. Kinywaji kimedoda?Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na mtumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.
Mkuu kwani iliingia madarakani 2020 kwa uchaguzi? Yale yalikuwa mapinduzi kama mapinduzi mengine yeyote tuu. Bila katiba mpya na tume huru yatajirudia tena mileleLazima ccm itolewe madarakani kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025!
Hakuna namna nyingine ya kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa mafisadi na wachuuzi.
Punguza kulialia na wee komaaa utafute fursa uitumieeeeSasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.
Paka mkorogo na fuga ndevu kisha jifunge kilemba, vaa na kanzu, kisha Mtafute Rostam na gsm waulize watakuambia.Nchi imeuzwa kwa nani na shs ngapi?
Tupe uthibitisho
Akili hauna ....mfumo wako wa maisha ni kama wanavyo ishi wazaramuAisee mpaka leo hii sijawahi kuwa na sababu ya msingi ya mimi kupiga kura, hayo mambo nimeyapa mkono wa kwaheri.
Tangu umeanza kupiga kura umepata faida gani.?Akili hauna ....mfumo wako wa maisha ni kama wanavyo ishi wazaramu
Swali lako ni la mfu ...ni sawasawa na kusema masikini wanakufa na matajili wanakufa hivyo sioni faida ya kutafuta pesa ...maisha ni kupambana ni sawasawa useme utaki kutibiwa ugonjwa wowote kwa sababu hata nanaokwenda hospitalini wanakufaga ..hoja mfuTangu umeanza kupiga kura umepata faida gani.?
Fahamu kutofautisha kati ya vitu vya muhimu na lazima na vitu vya muhimu lakini sio lazima.Swali lako ni la mfu ...ni sawasawa na kusema masikini wanakufa na matajili wanakufa hivyo sioni faida ya kutafuta pesa ...maisha ni kupambana ni sawasawa useme utaki kutibiwa ugonjwa wowote kwa sababu hata nanaokwenda hospitalini wanakufaga ..hoja mfu
Kwaiyo wote wanaopiga kura duniani ni wajinga isipokuwa wewe ,Fahamu kutofautisha kati ya vitu vya muhimu na lazima na vitu vya muhimu lakini sio lazima.
Siku njema Boss.
Akili zenyewe ndio kama za muuza kangala kutwa kutukana humu utaweza kuiondoa ccm wewe?Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.
Kuna mahali nmesema wanaopiga kura ni wajinga.?Kwaiyo wote wanaopiga kura duniani ni wajinga isipokuwa wewe ,