Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Mama hajanunua goli kwa milioni?Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua simba Queen kama washindi wa ngao ya jamii 2023!
Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni zarau kubwa!
Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo!
Hawa Dada zangu hatujawatendea haki kabisa!
Ngao ya jamii ya wanawake 2023Mama hajanunua goli kwa milioni?
Mmh kama hazina faida si wangezifuta!Timu za wanawake dunia nzima zipo kwa sababu ila kibiashara hazina faida na ndo maana hata Ulaya mshahara wa wiki wa Cr7 unawalipa timu msimu mzima
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ule ni mpira wa miguu siyo mpira wa kiumeni!Wakacheze netball waipe thamani waachane na soccer la wanaume
Feminist?Ule ni mpira wa miguu siyo mpira wa kiumeni!
Hivyo kila mwenye miguu anayeweza kucheza anacheza!
Hukusikia timu ya netball ilishindwa kwenda Botswana kwa kukosa mil 20 na ikabidi wajitoe kwenye mashindanoWakacheze netball waipe thamani waachane na soccer la wanaume
MwambieHukusikia timu ya netball ilishindwa kwenda Botswana kwa kukosa mil 20 na ikabidi wajitoe kwenye mashindano
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo ,mwanzo mdogo ,hii ni stepping stone 🪨 kuanzia Hapa mabadiliko yatakuwepo.Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua simba Queen kama washindi wa ngao ya jamii 2023!
Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo. Hawa Dada zangu hatujawatendea haki kabisa!
Nilisikia na nnajua. Bado nnawashauri wakacheze netball waipe thamani waachane na soccer wanaume. Kucheza mpira huu ni mambo tu ya kutaka kuleta equality between two existing sexes. Feminist Samico Tanzania atakaza shingo hapaHukusikia timu ya netball ilishindwa kwenda Botswana kwa kukosa mil 20 na ikabidi wajitoe kwenye mashindano
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana haja ya kuniambia ninajua. Ssoccer kajifunze kuhusu cuju ujue soccer lilianzaje na lilikuwa kwa ajili ya naniMwambie
OohNadhani kwakua ni msimu wa kwanza tuwapongeze pia kwa hatua hii,natumai msimu ujao utakua bora na ulioboreshwa zaidi,lets learn to appreciate! TFF hawawezi kufanya kila kitu,na ndio maana kuna nguvu ya udhamini kidogo ,msimu ujao wadhamini wataongezeka.
Sema wewe hupendi! Usiwasemee wengine!Hakuna mtu anapenda mpira wa wanawake, ni bora ukaangalia mpira wa watoto wa Sekondari.