Ni dharau kuwapa Tsh. Milioni 5 wachezaji wa Simba Queens kama washindi wa Ngao 2023

Ni dharau kuwapa Tsh. Milioni 5 wachezaji wa Simba Queens kama washindi wa Ngao 2023

Sema wewe hupendi! Usiwasemee wengine!
Kila kitu huwa ni matangazo! Hakuna kisichopendwa sema mpira huu haijatangazwa na kupewa kipaumbele!

Ungeaangalia fainali uone wadada wanavyocheza vizuri saingine kuliko baadhi ya timu za wanaume
Miaka yote unatangazwa lakini wapiii..
 
Sema wewe hupendi! Usiwasemee wengine!
Kila kitu huwa ni matangazo! Hakuna kisichopendwa sema mpira huu haijatangazwa na kupewa kipaumbele!

Ungeaangalia fainali uone wadada wanavyocheza vizuri saingine kuliko baadhi ya timu za wanaume
Mpira wa wanawake haupendwi sababu hauna intensity.
Huo ndio ukweli unapenda au Hupendi.
 
Unadhani mpira wa wanaume unapendwa sababu ya Hamasa?
Ndiyo! Kwani uongo? Mbona timu za kawaida zikicheza pale taifa watu hawaendi,
Lakini simba na yanga watu wanaenda?

Ishu ni hamasa! Tukianza kuhamasisha kama ilivyo simba na yanga ...mpira wa wanawake lazima utapendwa tu!

Kuna wadada wanasakata kabumbu kuliko max nzengeli
 
Team za kawaida zipi?
 
Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua Simba Queens kama washindi wa ngao ya jamii 2023!

Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo. Hawa Dada zangu hatujawatendea haki kabisa!
Hivi unaelewa hata mantiki ya "Ngao ya jamii" au basi tu umeamua kujiandikia na wewe uwe kwenye rekodi ya kuandika hapa jf?.
 
Back
Top Bottom