Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

Unaweza kutoa sababu za kutofanya vizuri?
Unaijua vizuri 5L?
Mkuu aweke 5L kwenye Nissan Civilian ile Long Base. Hiyo gari itabidi ikafanye route ya Makumbusho Posta, Makumbusho Stesheni, Mabibo Kariakoo.

Weight ya gari long base ni kubwa na passenger capacity nayo inaongezeka. Pia kwa route zenye miinuko na ushindani tegemea engine kutanua block muda wowote.
 
Haina majanga inafanya kazi fresh
Kuna bro wangu miaka ya nyuma alikurupuka alinunua rosa 2 kwa mkupuo,zilimfia zote na hata alipotaka kuziuza resale yake ilkua chini sana,shida yake alivyoniambia ile engine inahitaji uangalifu sana na ulaji wa mafuta pia ni mkubwa tofauti na engine za coaster na civilian so kwa dala dala hesabu ni pasua kichwa
 
Itakuwa alichukua engine hizi 4m50 au 4m51.
Moja ina 4990/5100cc yenye turbo inataka matunzo ukifanyia kazi ya daladala dereva awe smart na mmiliki kwenye service. Hii inafaa kwenye route ndefu na kazi za kukodiwa.
 
Indeed mkuu,hilo la turbo sio kabisa kwa daladala,mpaka sasa naona civillian ndio inatamba kwa daladala hata coaster zenyewe zimekimbilia kwenye route za kukodi
 
Itakuwa alichukua engine hizi 4m50 au 4m51.
Moja ina 4990/5100cc yenye turbo inataka matunzo ukifanyia kazi ya daladala dereva awe smart na mmiliki kwenye service. Hii inafaa kwenye route ndefu na kazi za kukodiwa.
Samahani Mkuu kati ya Civilian na coaster ni ipi nzuri kwa biashara ya daladala, low fuel consuption, cheap maintenance, na management kwa ujumla?
 
Afunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40
Rosa ni jipu la ubongo
Siongeli hivi kwa maboss kuimiliki, kwa experience yangu haswa kwa matumizi ya aina ya gari yenyewe, kiukweli madereva wa kuweza kuhimili, kuitunza na kutumia rosa kwa dar es salaam ni wachache sana, wengi wana fail kwenye rosa kwa 7bb ya madereva! Wewe rudishia hiyohiyo engine yake hata kwa ku overhaul! Magari ya biashara kwa tz chagua gari ngumu maliza kazi! 14b 15 1hz japo imepitwa na wakati kuna 1hd 2b 3b 4bs2 2h hizi za umeme bado mtihani sana sana sana
 
Asiende kwenye 4m series achukue 4d series hasahasa 33. 4m ni mambo ya umeme yatampa headache
Mkuu 4d ndio kichomi , sema watu na mafundi wanakariri
Nimetumia engine za 4d 31 , 4d 32, 4d33 na 4d35 kwenye mitsubishi canter , zilikuwa vibaya sana kwenye mafuta kuliko 4m 51 na hazikuwa na nguvu , na mara kadhaa nimefanya engine ovehaul
4m ninazo saa hii moja inaenda mwaka wa 14 nyingine mwaka wa 11 kila siku mzigoni na sijawahi wala haina dalili ya engene kuchoka
 
Back
Top Bottom