t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Engine za umeme ni engine nzuri na zinadumu kama zitazingatiwa , hakilksha sana huuwi contriol box na imjector pump .Rosa ni jipu la ubongo
Siongeli hivi kwa maboss kuimiliki, kwa experience yangu haswa kwa matumizi ya aina ya gari yenyewe, kiukweli madereva wa kuweza kuhimili, kuitunza na kutumia rosa kwa dar es salaam ni wachache sana, wengi wana fail kwenye rosa kwa 7bb ya madereva! Wewe rudishia hiyohiyo engine yake hata kwa ku overhaul! Magari ya biashara kwa tz chagua gari ngumu maliza kazi! 14b 15 1hz japo imepitwa na wakati kuna 1hd 2b 3b 4bs2 2h hizi za umeme bado mtihani sana sana sana
Control box inakufa pale unapo boost battery, au kuchomea welding gari ipo on., wakati fulani inakufa kwa kutozingatia namna ya kuweka battery .
Pump nyingi za gari za umeme ni rotarry pump, , hazina oil line kwa ajili ya lubrication kama ilovo kwenye inline , badala yake rotarry pump inategemea diesel kwa ajili ya lubrication , ndo maana huwa zinakuja na fuel.pipes zenye diameter kubwa kutoka kwenye tank kuja kwenye pump na kurudi kwenye tank ,pump hizi zinakufa kama gari itaendeshwa na mafuta machache kwenye tank ..maana yatapata moto na kupunguza lubrication effect.
Ukizzingatia haya gari ya umeme utakaa nayo hadi unatupa