Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
-
- #21
Hizi civilian zikianza kusumbua clutch inaweza kukutoa kipara.Nadhani watu wengi Tanzania wana mentality kwamba Nissan ni gari mbaya, kitu ambacho si kweli. Sijui huwa wanaangalia nini hasa. Au hizo X-trail?
Mkuu aweke 5L kwenye Nissan Civilian ile Long Base. Hiyo gari itabidi ikafanye route ya Makumbusho Posta, Makumbusho Stesheni, Mabibo Kariakoo.Unaweza kutoa sababu za kutofanya vizuri?
Unaijua vizuri 5L?
Mkuu tatizo kama Clutch tu usitoe nenda Ubungo Riverside,Tabata Matumbi na Temeke mwisho utapata tiba gari inatuliaHizi civilian zikianza kusumbua clutch inaweza kukutoa kipara.
Engine haina nguvu kabisa..Unaweza kutoa sababu za kutofanya vizuri?
Unaijua vizuri 5L?
Lile engine la rosa sio majanga kweli mkuu?Afunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40
Wakati tunakushauri ununue Toyota,ulisema unataka kuwa "unique'...haya sasa 😂Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
Haina majanga inafanya kazi freshLile engine la rosa sio majanga kweli mkuu?
Rosa nyingi kweli zipo bench kwa sasa sielewi tatizo nini?Haina majanga inafanya kazi fresh
Rosa sio nyingi mkuu, Dar zimejaa Nissan Civilian na Toyota Coaster. Hesabu ya kusema nyingi unalinganisha na zipi.Rosa nyingi kweli zipo bench kwa sasa sielewi tatizo nini?
Kuna bro wangu miaka ya nyuma alikurupuka alinunua rosa 2 kwa mkupuo,zilimfia zote na hata alipotaka kuziuza resale yake ilkua chini sana,shida yake alivyoniambia ile engine inahitaji uangalifu sana na ulaji wa mafuta pia ni mkubwa tofauti na engine za coaster na civilian so kwa dala dala hesabu ni pasua kichwaHaina majanga inafanya kazi fresh
Itakuwa alichukua engine hizi 4m50 au 4m51.Kuna bro wangu miaka ya nyuma alikurupuka alinunua rosa 2 kwa mkupuo,zilimfia zote na hata alipotaka kuziuza resale yake ilkua chini sana,shida yake alivyoniambia ile engine inahitaji uangalifu sana na ulaji wa mafuta pia ni mkubwa tofauti na engine za coaster na civilian so kwa dala dala hesabu ni pasua kichwa
Indeed mkuu,hilo la turbo sio kabisa kwa daladala,mpaka sasa naona civillian ndio inatamba kwa daladala hata coaster zenyewe zimekimbilia kwenye route za kukodiItakuwa alichukua engine hizi 4m50 au 4m51.
Moja ina 4990/5100cc yenye turbo inataka matunzo ukifanyia kazi ya daladala dereva awe smart na mmiliki kwenye service. Hii inafaa kwenye route ndefu na kazi za kukodiwa.
Samahani Mkuu kati ya Civilian na coaster ni ipi nzuri kwa biashara ya daladala, low fuel consuption, cheap maintenance, na management kwa ujumla?Itakuwa alichukua engine hizi 4m50 au 4m51.
Moja ina 4990/5100cc yenye turbo inataka matunzo ukifanyia kazi ya daladala dereva awe smart na mmiliki kwenye service. Hii inafaa kwenye route ndefu na kazi za kukodiwa.
Rosa ni jipu la ubongoAfunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40
14b itakaa vizuri mkuu through your experiencesMitsubish canter au 14b ya toyota
Kama kanunua nissan , namuonea hurumaDuh mkuu Ile mil. 60 uliyoomba ushauri hapa JF ya ufanye biashara gani ndio wameshakushikisha kimeo Cha Nissan Civilian?
4m40 ni engine ndogo sana kwa nissan civilian, labda kama unamshauri 4m50 au 4m51 , bahati mbaya hizi ni electeonic kwa hiyo wiring itahusika na control boxes, kitu amabcho ni kigumu sanaAfunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40
Niliwahi kuhesabu gari za Mbagala. Kati ya dala dala 10, 8 zilikuwa ni Nissan Civilian.Indeed mkuu,hilo la turbo sio kabisa kwa daladala,mpaka sasa naona civillian ndio inatamba kwa daladala hata coaster zenyewe zimekimbilia kwenye route za kukodi
Mkuu 4d ndio kichomi , sema watu na mafundi wanakaririAsiende kwenye 4m series achukue 4d series hasahasa 33. 4m ni mambo ya umeme yatampa headache