Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

Engine za umeme ni engine nzuri na zinadumu kama zitazingatiwa , hakilksha sana huuwi contriol box na imjector pump .
Control box inakufa pale unapo boost battery, au kuchomea welding gari ipo on., wakati fulani inakufa kwa kutozingatia namna ya kuweka battery .
Pump nyingi za gari za umeme ni rotarry pump, , hazina oil line kwa ajili ya lubrication kama ilovo kwenye inline , badala yake rotarry pump inategemea diesel kwa ajili ya lubrication , ndo maana huwa zinakuja na fuel.pipes zenye diameter kubwa kutoka kwenye tank kuja kwenye pump na kurudi kwenye tank ,pump hizi zinakufa kama gari itaendeshwa na mafuta machache kwenye tank ..maana yatapata moto na kupunguza lubrication effect.
Ukizzingatia haya gari ya umeme utakaa nayo hadi unatupa
 
Hapo umetisha..
Engine ya 4 cylinders kwa hizi kazi heavy haifai.. Either iwe na displacement kubwa.. 14B na 4M51 ingawa ni 4 cylinders ila displacement ya kutosha ndio inawasaidia..
Ila 14B ya kizamani..
4M51 ni moto hiyo inakimbizana na 1HDFTE..!

6 cylinders ndio mpango mzima..!
 
4 cylinders zenye displacement kubwa ni nzuri ila kuna trick, they are prone to vibration damage , due to unstable torque curve , due to firing order gaps.
Mitsubishi kwenye 4m 51 , ameweka shaft balancers , which rotates against torque direction, this, eliminates huge amount of vibrations. Ndo mana zina maisha marefu..
 
Kwa upande wa ufundi nimemshauri atumie 4d series zimezoeleka kwa mafundi wengi so hatapata tabu kwenye upande huo
 
Kwa upande wa ufundi nimemshauri atumie 4d series zimezoeleka kwa mafundi wengi so hatapata tabu kwenye upande huo
Mkuu
Engine" ziilizozoeleka na mafundi " ndio pendwa na mafundi kwa ajili ya kupigia pesa,
Nina 4m51 huu unaingia mwaka wa 14, haijawai guswa engine , unadhani fundi ataipenda hii?, 4d 33 iliikuta hii na ikadai overhaul mbili ndani ya miaka 5,.
 
Itakuwa alichukua engine hizi 4m50 au 4m51.
Moja ina 4990/5100cc yenye turbo inataka matunzo ukifanyia kazi ya daladala dereva awe smart na mmiliki kwenye service. Hii inafaa kwenye route ndefu na kazi za kukodiwa.
Indeed mkuu,hilo la turbo sio kabisa kwa daladala,mpaka sasa naona civillian ndio inatamba kwa daladala hata coaster zenyewe zimekimbilia kwenye route za kukodi
Niliwahi kuhesabu gari za Mbagala. Kati ya dala dala 10, 8 zilikuwa ni Nissan Civilian.
Civilllian nadhani ndio inalipa kwa daladala
 
Mkuu
Engine" ziilizozoeleka na mafundi " ndio pendwa na mafundi kwa ajili ya kupigia pesa,
Nina 4m51 huu unaingia mwaka wa 14, haijawai guswa engine , unadhani fundi ataipenda hii?, 4d 33 iliikuta hii na ikadai overhaul mbili ndani ya miaka 5,.
Siku ukiigusa utaitishwa engine nyingine. Kama engine ya nissan imemshinda ndo umpeleke kwenye 4M?
 
Siku ukiigusa utaitishwa engine nyingine. Kama engine ya nissan imemshinda ndo umpeleke kwenye 4M?
@ 14 service years sidhani kama kuna nililopoteza hata kama nitaitishwa engine nyingine, ingawa bado naona kuna miaka hata 5 mbele ya engine life nilinunua hii gari kwa 9 milion mtumba wa japan, sasa hivi ni mara nne zaidi.
Engine za nissan hazIna uimara wa 4m ,
 
Indeed mkuu,hilo la turbo sio kabisa kwa daladala,mpaka sasa naona civillian ndio inatamba kwa daladala hata coaster zenyewe zimekimbilia kwenye route za kukodi

Civilllian nadhani ndio inalipa kwa daladala
Civilian inalipa kwa sababu ya bei , coster ipo kwenye 90 million huko unarudishaje pesa?
90 mill kuna wakati ulikuwa unapata hata nisaan tatu , spreading the bussiness risks at max
 
Indeed mkuu,hilo la turbo sio kabisa kwa daladala,mpaka sasa naona civillian ndio inatamba kwa daladala hata coaster zenyewe zimekimbilia kwenye route za kukodi

Civilllian nadhani ndio inalipa kwa daladala
Nissan Civillian bei ya kununua ni ndogo tofauti na Toyota Coaster.

Inalipa endapo utazingatia service, au utafute fundi mzuri wa Nissan kila week awe anafanya service na unasimamia. Gari ikifanya kazi miaka 2 unaiuza haraka unanunua nyingine.
 
Isuzu Journey lile toleo la mwanzo hakuna tena ilikuwa ni ngumu sana. Baada ya Hapo wameungana na Nissan Civillian wanashare platform kuanzia body mpaka engine.

Saizi unakuta Isuzu Journey kwenye bodi ya Civillian na wanashare kila kitu.
Miaka hiyo nilikua naona sana isuzu journey ikishanunuliwa wanabadilisha booster ya break,sijui ilikua kwa sababu gani!
 
Miaka hiyo nilikua naona sana isuzu journey ikishanunuliwa wanabadilisha booster ya break,sijui ilikua kwa sababu gani!
Breki ndo ilikuwa shida kuu ya isuzu journey, zilikuwa zinakuja na full drum , mbele na nyuma, drum brakes are notorious for brake fading, ,na bahati mbaya brake master cylinder yake ilikuwa ni ndogo .ndo maana wakawa wanaweka master za Toyota.
 
Ni kweli mkuu,zilikua zinawekwa master za hiace 2L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…