Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

Soma Ufunuo wa Yohana kuanzia mwanzo hadi mwisho, utajua hatma ya shetani na watu wote, na chunguza sana biblia unayoisoma kwani wameanza kuzibadilisha, usipende kuuliza mambo ya Mungu mtandaoni kwani waliojaa humo ni ......., kasome "Revelation"
 
Anaejua ni Mwenyezi Mungu mwenyewe hiyo faida anayoipata kwa hiyo ni ngumu kwangu Mimi Kama mwanadamu kujua faida anazopata isipokuwa mi ninachojua ni kutii amri zake!!!!!
Unaweza mtafuta mwenyewe ukamuuliza labda atakuwa na majibu.
Mbona akiulizwa anajibu, tatizo watu hawasali wenyewe, wakidhani kuenda kanisani pekee kutamfanya kujua ukweli, muombe mungu kwani hakuna binadamu atakayekujibu, hats akikujibu hutaelewa, sala tu ndiyo inayofunua watu na chanzo cha hekima.
 
Yani shetani ameteka nafsi yako, kusema hivyo ni kudanganywa na shetani ambaye yeye mwenyewe anajua yupo na anamuogopa kama nn, anachofanya saivi ni kutafuta washirika wake motoni
 
Yani shetani ameteka nafsi yako, kusema hivyo ni kudanganywa na shetani ambaye yeye mwenyewe anajua yupo na anamuogopa kama nn, anachofanya saivi ni kutafuta washirika wake motoni
Jibu swali habari ya unakufuru iache kwanza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafasi ya wanawake bado ipo chini hadi mbinguni wanaenda kutumiwa kama vyombo vya starehe.
Huyo katoa mfano wa dini nyingine, na dini nyingi ni za uongo, navyojua mm dini pekee chimpuko lake ni kwa Abrahamu, nyingine nni uongo, hats usipoamini saivi utaamini baadaye ukiwa katika hali ya majuto, WOTE mtaamini tu.
 
Wazazi na mababu wa huyo abraham walikua dini gani au hakukua na dini?
 
Hivi umu kuna vivuli vya watu binadam au vivuli vyamashetani au mashetani wenyewe? nahisi kuna mashetani wanawacharenji watu humu kwanye uziii huuuu!
 
Jifariji tu KWASASA ila kama humjui Mungu leo utamjua kesho!utakuwa umechelewa!
 
Mungu hayupo kwa hiyo wewe amekuumba mamako siyo??

........hahahahaahaha! imekosekana (u na k) mwazo dah atari chariiii wangu!
 
Una pepo wewe si bure, uponywe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…