Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

Salaaam..

Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.

Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.

Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..

SWALI:

je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??

Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..

Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??

Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..

Nawasilisha..karibuni
KWANINI MOTO WA JEHANAMU NI ILLUSION???

1.Ule moto hatujaambiwa unatumia fuel ya aina gani e.g petrol,gas, kerosene, au mkaa.

2.Ziendazo huko ni roho.Roho hazina sensory cells, so watakaoenda huko hawatahisi maumivu.

3.Chanzo cha roho ni pumzi aliyopuliziwa Adam na Mungu, ile pumzi ndio tunayo ibreath in and out, nayo ni oxygen...oxygen kazi yake ni kusapoti moto uwake. So roho zitakazokwenda jehanamu zitakuwa na kazi ya kusapoti combustion.

SWALI: NINI KAZI YA MOTO WA JEHANAMU???...Wafiadini majibu tafadhali.
 
Ukijibiwa
Utapata faida gani?

Ulipoambiwa usizini, kwanini ulizini? Na ulipozini ulipata faida gani? Zaidi ya kujutia na kujilamu!
Ulipoambiwa usiseme uongo,usitamani mwanamke/mume asiye wako,usiibe,usiue,usiseme uongo,waheshimu baba na mama,n.k ulipovunja yote hayo/au moja kati ya hayo ulipata faida gani?
Kweli bwana muulize
 
Hakuna kitu kama hicho ni nadharia tu ambazo watu kama wewe walizianzisha na kuwaaminisha watu kuwa kuna kuchomwa moto kwa watenda dhambi siku ya mwisho Ili kupunguza madhambi kwa kiasi fulani
Imani yako tuu hiyo ndo inayokufanya usimwamini muumba wako
 
Kwanini unakimbilia mahubiri badala ya kustick kwenye swali? Ama umeamua kuongeza maswali yako kufanya mtihani uwe na maswali mengi zaidi?
Acha figsu figsu jibu bwana unajua kumuamini kuna kufanya uwe mtiifu angalia wale wanaomtii bwana Kama ni majambazi au wezi au magaidi
 
Salaaam..

Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.

Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.

Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..

SWALI:

je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??

Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..

Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??

Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..

Nawasilisha..karibuni
swali lingekuwa anapata faida gani kwa sisi kuwepo 'duniani' kabla ya kufa na kufata mengineyo,,
 
Hakuna moto wa milele.
soma Mwanzo 3:19
Mhubiri 9:5,6,10
Zaburi 146:3,4
Yeremia 7:31
 
Hakuna kitu kama hicho ni nadharia tu ambazo watu kama wewe walizianzisha na kuwaaminisha watu kuwa kuna kuchomwa moto kwa watenda dhambi siku ya mwisho Ili kupunguza madhambi kwa kiasi fulani
Wewe sio wa kwanza kuzikataa/kupinga..
Walikuwepo waliopinga kinadharia kamaa ww.
Mwisho wa siku walipotea kinadharia.
Cha kufurahisha ni kwamba Mungu katupa zawadi nzuri ambayo hawezi kutunyang'anya..
Zawadi ya uhuru wa kuchagua..Ukiwa hai.
Unaweza ukachagua kumkubali au kumpinga kwa namna yeyote ile kama ww ufanyavyo.
Ku mwamini au kutokumwamini.
MUNGU SI DICTATOR.
Hata ukimtukana matusi makubwa makubwa au ya kinadharia.
Sawa tu.

LKN
Katika yote hayo..Siku utakapokuwa mbele yake.
Maneno yako hayatabadilisha kitu..
Kwamba ulikuwa huamini..
uliamini ni nadharia ya watu..hayata saidia kitu.
Kilio na machozi yako..haya badiliaha msimamo wake.

Neno moja kwako.
Mungu anakupenda.
Mlango uko wazi,bado nafasi unayo kwa sasa anaweza akakusamehe..akakufanya kuwa mwana wake
 
Acha figsu figsu jibu bwana unajua kumuamini kuna kufanya uwe mtiifu angalia wale wanaomtii bwana Kama ni majambazi au wezi au magaidi

Kutii jambo usilolijua kunajenga woga, woga, na woga hujenga hofu na hofu ikikua inajenga mazoea ambayo huitwa imani, na ukiisha kuamini ni kutarajia mambo yanayosemekana yanakuja tokea adamu ambayo kimsingi hayatakuja, tukubaliane ama kutokubaliana kwamba aliyeleta dhana hii ya uungu ni mbunifu wa hali ya juu, ambaye ana elimu kubwa ya maarifa yaliyomzidi mwanadamu wa kawaida na kwa kiwango kikubwa kachangia dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kwa kuvuruga akili za wanadamu!
 
Salaaam..

Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.

Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.

Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..

SWALI:

je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??

Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..

Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??

Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..

Nawasilisha..karibuni

Kwanza lazima utambue kuwa akili za Mungu hazichunguziki;
Kwani asipowachoma anapata hasara gani?
Unachoshindwa kujua unadhani wewe ni wa thamani sana machoni pa Mungu.
Kwa Mungu mwanadamu ni udongo na yeye ni mfinyanzi.
Mfinyanzi anapofinyaga gae (Kigae) harafu kikawa kibovu akikibomoa utamuuliza kwa nini kakibomoa?
Kwa mantiki hiyo, huwezi kupata ujasiri wa kumhoji Mungu kama huwezi kumtii yeye aliyekufinyanga.
 
Salaaam..

Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.

Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.

Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..

SWALI:

je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??

Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..

Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??

Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..

Nawasilisha..karibuni
moto utachoma nini wakati mwili umeshaoza kaburini!
 
Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Tofauti na malaika binadamu tuna free will. Baada ya Yesu Kristo kufa msalabani ili tuhesabiwe haki, basi imebaki ni machaguo yako tu uende mbinguni au motoni. Si Mungu anayekupeleka. Yes binadamu ni dhaifu na wadhambi, lakini hakuna mtu atakayekulazimisha (hata Mungu) kukiendea kiti che rehema cha Mungu kutubu. Hivyo Mungu hapendi (mungu anapenda) mtu yoyote apotee bali wote tuiendee toba.
 
Salaaam..

Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.

Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.

Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..

SWALI:

je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??

Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..

Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??

Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..

Nawasilisha..karibuni

Kwa ufahamu wangu:-
1. Mungu sio mwanadamu hata aanze kutafuta faida kwa maamuzi anayoyafanya, akiamua amemaliza.
2. Kukaa motoni milele ni sawa na kukaa katika uzima wa milele Mbinguni, kwa sababu nyati hizo kifo hakitakuwepo. Mauti itakuwa imefungwa
3. ni vema kuyachunguza maandiko ili upate kuyatii na kuyafuata, na sio kwa lengo la kuyakosoa maana utapotea na roho ya ukengeufu inaweza ikakuvaa.

Wasalaam,
 
jiandae kujibiwa ni "fumbo la imani"

Hahhahaa....mkuu umenichekesha sana....watakimbilia "Fumbo la Imani",kama ulikuwepo vile....

Hawa hawa ndio walewale wanaosema "Usinichukie mimi,Zichukie dhambi zangu"...yaani haya majitu hayana aibu....hawa wanafanya hii dunia wanadamu wengine ni mataahira yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom