Alex Tanzania
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 782
- 646
Usimrekebishe Mungu ww.........hakurupuki kama weweBad enough tunasoma katika vitabu vya dini kwamba mamlaka ya Mungu ni ya juu sana na haihojiwi na chombo kingine chochote, ila nadhani kwamba wakati Mungu anatoa tamko lake hili alilitoa kwa ghadhabu na wala hakuangalia side effects zake!
KWANINI MOTO WA JEHANAMU NI ILLUSION???Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
Kweli bwana muulizeUkijibiwa
Utapata faida gani?
Ulipoambiwa usizini, kwanini ulizini? Na ulipozini ulipata faida gani? Zaidi ya kujutia na kujilamu!
Ulipoambiwa usiseme uongo,usitamani mwanamke/mume asiye wako,usiibe,usiue,usiseme uongo,waheshimu baba na mama,n.k ulipovunja yote hayo/au moja kati ya hayo ulipata faida gani?
Imani yako tuu hiyo ndo inayokufanya usimwamini muumba wakoHakuna kitu kama hicho ni nadharia tu ambazo watu kama wewe walizianzisha na kuwaaminisha watu kuwa kuna kuchomwa moto kwa watenda dhambi siku ya mwisho Ili kupunguza madhambi kwa kiasi fulani
Acha figsu figsu jibu bwana unajua kumuamini kuna kufanya uwe mtiifu angalia wale wanaomtii bwana Kama ni majambazi au wezi au magaidiKwanini unakimbilia mahubiri badala ya kustick kwenye swali? Ama umeamua kuongeza maswali yako kufanya mtihani uwe na maswali mengi zaidi?
Usimrekebishe Mungu ww.........hakurupuki kama wewe
utakuwa mtoto wa darasa la ngapi?muda mwingi ni mtu wakuchangi negative au kucrush...this is the home of great thinker.Kwanini unakimbilia mahubiri badala ya kustick kwenye swali? Ama umeamua kuongeza maswali yako kufanya mtihani uwe na maswali mengi zaidi?
swali lingekuwa anapata faida gani kwa sisi kuwepo 'duniani' kabla ya kufa na kufata mengineyo,,Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
Hakuna moto wa milele.Salaaam..

Wewe sio wa kwanza kuzikataa/kupinga..Hakuna kitu kama hicho ni nadharia tu ambazo watu kama wewe walizianzisha na kuwaaminisha watu kuwa kuna kuchomwa moto kwa watenda dhambi siku ya mwisho Ili kupunguza madhambi kwa kiasi fulani
Acha figsu figsu jibu bwana unajua kumuamini kuna kufanya uwe mtiifu angalia wale wanaomtii bwana Kama ni majambazi au wezi au magaidi
utakuwa mtoto wa darasa la ngapi?muda mwingi ni mtu wakuchangi negative au kucrush...this is the home of great thinker.
Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
moto utachoma nini wakati mwili umeshaoza kaburini!Salaaam..

jiandae kujibiwa ni "fumbo la imani"