Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
 
Gari yoyote hufanyiwa,
majaribio mengi

Masoud alitakiwa atoe prototype kwanza
Afu alifanyie majaribio hata ya kulitembeza angalau 1000 Km kwenye hali zote
Kwenye maji, maana mafuriko ni kawaida Tanzania

Apitishe kwenye barabara korofi

Apeleke gari Iringa, Mbeya,Arusha ili kuona litafanyaje kazi nyakati za baridi kali.

Masoud hakufanya lolote kati ya hilo.
Design ya gari ilikuwa mbaya kimuonekano

Battery inachaji kwa muda mrefu

Alitakiwa atafute timu ya wataalamu haswa wa electrical cars.

Gari siku hizi hazitunii mabati bali fibers
 
Gari bovu hlo , hata mwehu hawezi nunua , mlimpa kichwa tuu huyo Boya .... Poor design, yeye mwenyewe aliihadaa serikali akala pesa za ruzuku , akatoa ten percent zen akapita hv .... Ubongo wa mwafrika tena Mtanzania wap na wap na gari , si tunachoweza ni fitna tuu na roho mbaya bas
 
.... sisi tunachoweza ni fitna na roho mbaya basi. NB: Na hicho ndio unachofanya, kwa vile ndicho unachoweza; fitna na roho mbaya. Duu, kukatisha tamaa, kutopenda mafanikio ya mwingine = fitna na roho mbaya.
 
Ni kupoteza muda kuiga yale ambayo hata utambike mwaka mzima hutaweza kushindana na waliotangulia..mfano mdogo wewe uko tayari kufanyiwa upasuaji hospitali na mtu ambaye hana taaluma ya udaktari..utakubali??
Ndio mambo ya masoud kipanya hayo, yeye mwenyewe hajui lolote kuhusu mechanics na mambo ya uhandisi, vitu vyote alivyotumia ni exports hakuna hata kimoja alichotengeneza mwenyewe..mtafute mnywe naye chai!
 
Gari yoyote hufanyiwa,
majaribio mengi

Masoud alitakiwa atoe prototype kwanza
Afu alifanyie majaribio hata ya kulitembeza angalau 1000 Km kwenye hali zote
Kwenye maji, maana mafuriko ni kawaida Tanzania

Apitishe kwenye barabara korofi

Apeleke gari Iringa, Mbeya,Arusha ili kuona litafanyaje kazi nyakati za baridi kali.

Masoud hakufanya lolote kati ya hilo.
Design ya gari ilikuwa mbaya kimuonekano

Battery inachaji kwa muda mrefu

Alitakiwa atafute timu ya wataalamu haswa wa electrical cars.

Gari siku hizi hazitunii mabati bali fibers
Mkuu kuwa mkweli bhana, hata bodi za Noah ama Tako la nyani zinatengenezwa kwa fibre?
 
Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
Ile haikua gari.

Ilikua toy kubwa ya gari.

Angeiita initial prototype angeeleweka.

Gari hadi iingie barabaran kuna tests nyingi sana inabidi ipitie, sasa yake pale tu ilipokua inaoneshwa tyr kuna tests ishafeli.
 
kuna project nyingine bora tuwaachie waliofika mbali sababu pesa zinaitajika sana kuwekeza.
mfano: kuchimba mafuta,madini,ndege na magari.

niliogopa kumponda ila amejaribu alafu watanzania wakurupuka japo yeye anaheshimiwa na kuchekewa na watu ambao wanamuogopa.
ili bidi kuanza majaribio gari za umeme mpaka pale hatakapo sema kaingia sokoni.
sijui hakusoma historia ya tesla car
 
Gari bovu hlo , hata mwehu hawezi nunua , mlimpa kichwa tuu huyo Boya .... Poor design, yeye mwenyewe aliihadaa serikali akala pesa za ruzuku , akatoa ten percent zen akapita hv .... Ubongo wa mwafrika tena Mtanzania wap na wap na gari , si tunachoweza ni fitna tuu na roho mbaya bas
Ukisikia kujinyea ndio hivi sasa.
 
Gari bovu hlo , hata mwehu hawezi nunua , mlimpa kichwa tuu huyo Boya .... Poor design, yeye mwenyewe aliihadaa serikali akala pesa za ruzuku , akatoa ten percent zen akapita hv .... Ubongo wa mwafrika tena Mtanzania wap na wap na gari , si tunachoweza ni fitna tuu na roho mbaya bas
Fitina zenyeewe ndio hizi sasa!!😜😜
 
Du sikutegemea haya majibu yanayotolewa na watanzania dhidi ya mtanzania mwenzetu anaestruggle kucreate wealth and employment among us the same same Tanzanians. blaxks against blacks. Nawatakieni Xmass na mwaka mpya mwema
Unachoshangaa ni kipi hapo wanachoongea ni ukweli mtupu
 
Gari bovu hlo , hata mwehu hawezi nunua , mlimpa kichwa tuu huyo Boya .... Poor design, yeye mwenyewe aliihadaa serikali akala pesa za ruzuku , akatoa ten percent zen akapita hv .... Ubongo wa mwafrika tena Mtanzania wap na wap na gari , si tunachoweza ni fitna tuu na roho mbaya bas
Something is better than nothing... Walau yeye amejaribu...
 
.... sisi tunachoweza ni fitna na roho mbaya basi. NB: Na hicho ndio unachofanya, kwa vile ndicho unachoweza; fitna na roho mbaya. Duu, kukatisha tamaa, kutopenda mafanikio ya mwingine = fitna na roho mbaya.
Kabisa mkuu, hakuna mafanikio yanayokuja bila kujaribu na kutenda, kukosea, kukosea then unapata kilicho bora... Wao ni kuponda tuu
 
Ndo maana mnaitwa hamna akili.
Hizo gari zimetengenezwa lini?
Wewe mwenye akili tutajie aina za gari zilizopo sokoni leo ambazo bodi zake zimetengenezwa kwa fiber.

Kutokulijua jambo si upumbafu, maana kutokuwa na akili ndiyo upumbafu ambalo ni tusi.
 
Gari bovu hlo , hata mwehu hawezi nunua , mlimpa kichwa tuu huyo Boya .... Poor design, yeye mwenyewe aliihadaa serikali akala pesa za ruzuku , akatoa ten percent zen akapita hv .... Ubongo wa mwafrika tena Mtanzania wap na wap na gari , si tunachoweza ni fitna tuu na roho mbaya bas
Sasa mwenye roho mbaya ni nani kama sio wewe unaemfitini mbongo mwenzako?
 
Naweza changia kama ifuatavyo;-

1. Alipongezwa sababu anafahamika.

2. Teknolojia ya magari ya umeme ipo na imefika mbali, alichotngeneza ni kile wakati wenzetu wanaanzd ufundi huu (Muundo usio bora). Huwezi fika mbali sababu ulichofanya ni kurudisha nyuma teknolojia.

3. Project kams ilikuwa na mkono wa serikali basi ilikuwa na mpigo ndani yake.
 
Back
Top Bottom