Gari yoyote hufanyiwa,
majaribio mengi
Masoud alitakiwa atoe prototype kwanza
Afu alifanyie majaribio hata ya kulitembeza angalau 1000 Km kwenye hali zote
Kwenye maji, maana mafuriko ni kawaida Tanzania
Apitishe kwenye barabara korofi
Apeleke gari Iringa, Mbeya,Arusha ili kuona litafanyaje kazi nyakati za baridi kali.
Masoud hakufanya lolote kati ya hilo.
Design ya gari ilikuwa mbaya kimuonekano
Battery inachaji kwa muda mrefu
Alitakiwa atafute timu ya wataalamu haswa wa electrical cars.
Gari siku hizi hazitunii mabati bali fibers