Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala
Jamaa: Hellow... hellow... ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)
Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka...
😀😀😀😀😀😀😀😀😀