Ni full kuumbuka!✔

Ni full kuumbuka!✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala

Jamaa: Hellow... hellow... ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)

Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka...
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
hahahahahahahahaahahahaha
nyingine wanasema wife akamwambia kwa hasira: MBONA UMEKUNYWA MAZIWA YA MTOTO?
 
hahahahahahahahaahahahaha
nyingine wanasema wife akamwambia kwa hasira: MBONA UMEKUNYWA MAZIWA YA MTOTO?
emoji3.png
emoji2.png
emoji1.png
emoji3.png
emoji2.png
emoji1.png
hii kali!...
 
Back
Top Bottom