Ni furaha ilioje jana watu weusi wameshinda. Nimelala kwa furaha sana

Ni furaha ilioje jana watu weusi wameshinda. Nimelala kwa furaha sana

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Jana team yetu weusi imeshinda dhidi ya weupe. Kiukweli nliombea sana hilo litokee sababu sikupenda wale weupe wapate ushindi.

Mbape, Dembele hawa asili yao ni huku huku kwetu nimefuatilia kumbe Kylian ni Mnyakyusa kabisa. KYLIAN MWAMBAPE na Dembele ni Mnyamwezi.

Nikaona hawa ndo wenyewe ingawa wameibeba France lakini wanabaki kuwa ni weusi na Ufaransa inafikishwa hapo na weusi wenzetu.

Wale Weupe Morocco ni wapuuzi sana. Walishawahi enda kuomba wajiunge Europe ila wakakataliwa ndo chanzo cha kubaki Africa. Na walihonga sana waafrika wenzangu Senegal wanyang'anywe kombe.

Team za Afrika ambazo nlishambikia ni Ghana, Ivory Coast, Senegal, Cabo Verde.

Egypt wanafiki sana sitaki hata kuwasikia. Al munafiqun wakubwa hao. Yaani wanawazuia Palestine wasiingie kwao kwa kujenga LIUKUTA LIKUBWA. Kisha wanajifanya wanawapenda Wapalestine.

Kwa nini wasiache tu wapalestine waingie kwao na kuwasitiri?
 
Back
Top Bottom