Ni furaha kubwa kujiunga na JamiiForums

Ni furaha kubwa kujiunga na JamiiForums

Andfaru

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
221
Reaction score
150
Habari zenu ndugu, na furaha kubwa kujiunga na Great Thinkers (Jamii Forum)...
 
Nafurah kupata warm welcome kutoka kwenu@ Mkuu Deo Corleone, blogger na meningitis
 
Najiaandaa kufanya process ya malipo mkuu@ blogger
 
Duh siyo siri sijakaribisha members wapya almost two years. Leo ni bahati iliyoje...karibu sana mkuu. Mhimu ni kuzingatia taratibu na sharia mama za JF.
 
Mkuu nilishazosoma zote na nataraji pia support kutoka kwenu ili niendelee kuzishika na kuzielewa
 
Mkuu@ Red Devil. ....unanikumbusha mambo ya jana huko kwa malkia
 
Na furaha kubwa kujiunga na natarajia support kubwa kutoka kwenu wakuu
 
Nafurah kujiunga na Jamii Forum na natarajia support kubwa kutoka kwenu wakuu!
 
Karibu kwenye uwanja wa great thinkers and analysts.
 
Na furaha kubwa kuchagua eneo hili ili kukuza maarifa na mm pia kuchangia maarifa yangu kwa wengine
 
Bila shaka yoyote nataraji kupata maarifa ili kuweza kukuza ufahamu wangu...lakini pia kuchangia maarifa yangu kwa wengine pia! NAWASALIMU WAKUU
 
Wewe ni nani? na umefarahi nini? jukwaa gani lilokufarahisha, mwazoni ulikuwa wapi?
 
Teh teh teh teh teh teh teh...mkuu@ Sumu HESHIMA YAKO NAKUSALIMU
 
Back
Top Bottom