Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Matumaini yangu u mzima wa afya.. mimi ni kijana wa kiume kwa sasa naishi Iringa mjini, Kihesa ila bado sio mwenyeji sana wa hapa.
Dhumuni la andiko langu ni kuwaomba wakazi na wenyeji wa Iringa mjini kunisaidia kujua fursa yoyote inayopatikana hapa Iringa mjini itakayoniwezesha angalao mkono uende kinywani. Nitashukuru fursa husika ikiwa ile inayohitaji nguvu au akili maana sina mtaji wowote wa kifedha kwa sasa
Asanteni sana