Mkuu up grade basi kuanzia 2017 kuja miaka ya mbele ili tuwe kundi moja hizi za 2007 na 2008 za muda kidogo....una ndoto na gari zilizotamba enzi za Mwalimu..
UhakikaKale kanaitwa mini Cooper kama sijakosea
Hakuna Jimny ya 5 doors.Suzuki Jimny 5-Door
Ulivyoandika kama una uhakika 100% sema umepitiwa tu ndugu yangu zipo zimetoka kuanzia 2018 wewe hii 2024 unasema hakuna?Hakuna Jimny ya 5 doors.
Kila kitu nia. Mimi AudiNajua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninaipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171
Zimetoka 2024! Bila kodi zinauzwa mpaka dola 30Hakuna Jimny ya 5 doors.