Ni godoro gani zuri na imara kati ya QFL Dodoma na Tanform Arusha?

Ni godoro gani zuri na imara kati ya QFL Dodoma na Tanform Arusha?

KishimbaJr

Member
Joined
Jul 25, 2022
Posts
75
Reaction score
67
Wandugu,

Tukishajenga Na Kuhamia Tunahitaji Kufurahia Usingizi Pia.

Naomba Kuuliza Kwa Mwenye Kujua Godoro Zuri Hapo Ambalo Ni Imara Na Halibonyei Mtu Akilalia Hata Wa Kilo 100[emoji3][emoji3]
 
Wandugu, Tukishajenga Na Kuhamia Tunahitaji Kufurahia Usingizi Pia, Naomba Kuuliza Kwa Mwenye Kujua Godoro Zuri Hapo Ambalo Ni Imara Na Halibonyei Mtu Akilalia Hata Wa Kilo 100[emoji3][emoji3]
QFL ni mazuri ila siwezi weka ulinganisho na kampuni nyingine kwa kuwa sijawahi kutumia.

Mimi ni mteja loyal wa QFL na haijawah niangusha
 
Kwny uchakati wako unapenda kutumia style gani?Dogstyle,Kifo Cha Mende au Popo kanyea mbingu?

Maana hapo kila moja Ina godoro lake linaloweza kuhimili shughuli hio.
Ni Usingizi Tu Mkuu[emoji3][emoji3]...LIPI HALIBONYEI HAPO??
 
Tanfoam Ni Kiboko aisee ni gumu vizuri halafu halibonyei kirahisi

Ukisikia Mtu analalamika Tanfoam Kuharibika basi ujue kaliharibu mwenyewe....

pia Tanfoam wako tangu 1966 wana Miaka zaidi ya 50 sokoni....

naamini kwa muda wote huo wamepitia Nyakati tofauti tofauti na wamepokea maoni na malalamiko mengi kwa nyakati tofauti hivyo wanajua Ni nini wateja wanataka.

Ila uhakikishe unanunua kwa wakala

QFL siwajui vizuri lakini sidhani kama wanawafikia Tanfoam Arusha
 
mimi binafsi natumia comfy tangu nianze kujitegemea mpaka sasa hata foronya lake halijatoka na bdo imara binti yangu katika makuzi yake kalikojolea vyakutosha na kalimwagia maji lkn mzigo imara mpaka kesho mpaka sasa linamiaka 7.
 
Godoro ni Vita supreme aisee hutajutia, bei imechangamka kidogo ila ni imara sana. Me nimenunua 2019 ila mpaka sasa ni kama jipya hakuna mahali lilipobonyea au kutengezeza wimbi hivi, limenyooka vile vile
 
Back
Top Bottom