Ni godoro gani zuri na imara kati ya QFL Dodoma na Tanform Arusha?

Ni godoro gani zuri na imara kati ya QFL Dodoma na Tanform Arusha?

Vita supreme 5x6
Inchi 6?
Inchi 8?
Inchi 10?
Naomba kujua gharama wakuu
 
Magodoro standard ni Tanform tu.
Unless kama unatafuta taste mahsusi ndio unaweza kuangalia kushoto au kuliko
 
SEMINA SEMINA SEMINA YA UJENZI

UVIMO CIVIL GROUP
Tunajishughulisha na ufundi wa ujenzi nyumba.

Kupitia majukwaa yetu ya
UVIMO PUBLIC CENTER
,tumekuwa tukiendesha semina mahsusi za ujenzi.

UVIMO MAKTABA
Ndio programu yetu mahususi

Tumedhamilia kufanya semina mahususi juu ya ujenzi kuanzia uchaguzi wa uwanja hadi kuingia n.k
Kaika programu hii, utafaham kipi cha kuanza kwa kufuata utaratibu gani.

Ungana na wadau wengine kuanzia
Tarehe [emoji1428]1/3/2023
Ukumbi [emoji1428]Uvimo Public Center WhatsApp group
Kiingilio [emoji1428]Bure kabisa

Wasiliana nasi kupitia
WhatsApp [emoji1428]0753927572
Kupiga[emoji1428] 0753927572

Uvimo Maktaba
Niunge...
 
Godoro ni Vita supreme aisee hutajutia, bei imechangamka kidogo ila ni imara sana. Me nimenunua 2019 ila mpaka sasa ni kama jipya hakuna mahali lilipobonyea au kutengezeza wimbi hivi, limenyooka vile vile
Mkuu ulinunua la inch ngapi na bei gani supreme na je no laini ukilalia mkuu
 
Nambari 1 ni tanfoam
Aisee hili godoro lipewe heshima yake

Sio story hili godoro ninalo na nalitumia
 
Mkuu ulinunua la inch ngapi na bei gani supreme na je no laini ukilalia mkuu
Godoro lilikuwa na ukubwa wa futi tano kwa sita na kimo cha nchi kumi na mbili, bei sikumbuki vizuri ila ilikuwa inacheza kwenye 350k mpaka 400k. Godoro ni zuri sana kwa kweli sijuitii hela yangu kabisa, nikilinganisha na magodoro niliyowahi kulalia huko nyuma hili ni ze best
 
Back
Top Bottom