Ni godoro gani zuri na imara kati ya QFL Dodoma na Tanform Arusha?

Ni godoro gani zuri na imara kati ya QFL Dodoma na Tanform Arusha?

Wandugu,

Tukishajenga Na Kuhamia Tunahitaji Kufurahia Usingizi Pia.

Naomba Kuuliza Kwa Mwenye Kujua Godoro Zuri Hapo Ambalo Ni Imara Na Halibonyei Mtu Akilalia Hata Wa Kilo 100
emoji3.png
emoji3.png
Watu mnachukulia serious mambo ya kulala mpaka unaanzisha uzi wa godoro.

Nyie ndio mko serious na usingizi mpaka mnanunua nguo za kulalia usiku.
 
Wandugu,

Tukishajenga Na Kuhamia Tunahitaji Kufurahia Usingizi Pia.

Naomba Kuuliza Kwa Mwenye Kujua Godoro Zuri Hapo Ambalo Ni Imara Na Halibonyei Mtu Akilalia Hata Wa Kilo 100[emoji3][emoji3]
Nunua godoro la Comfy lala fofofo. Hutajuta.
Achana na QFL Dodoma, itakuvunja uti wa mgongo maana ikibonyea inachelewa kurudi.
 
Wandugu,

Tukishajenga Na Kuhamia Tunahitaji Kufurahia Usingizi Pia.

Naomba Kuuliza Kwa Mwenye Kujua Godoro Zuri Hapo Ambalo Ni Imara Na Halibonyei Mtu Akilalia Hata Wa Kilo 100[emoji3][emoji3]
 
Attachments

  • EC7D0D2C-27FF-42AE-843E-5C6D4AAE57E1.jpeg
    EC7D0D2C-27FF-42AE-843E-5C6D4AAE57E1.jpeg
    904.5 KB · Views: 9
Back
Top Bottom