KishimbaJr
Member
- Jul 25, 2022
- 75
- 67
QFL ni mazuri ila siwezi weka ulinganisho na kampuni nyingine kwa kuwa sijawahi kutumia.Wandugu, Tukishajenga Na Kuhamia Tunahitaji Kufurahia Usingizi Pia, Naomba Kuuliza Kwa Mwenye Kujua Godoro Zuri Hapo Ambalo Ni Imara Na Halibonyei Mtu Akilalia Hata Wa Kilo 100[emoji3][emoji3]
Ni Usingizi Tu Mkuu[emoji3][emoji3]...LIPI HALIBONYEI HAPO??Kwny uchakati wako unapenda kutumia style gani?Dogstyle,Kifo Cha Mende au Popo kanyea mbingu?
Maana hapo kila moja Ina godoro lake linaloweza kuhimili shughuli hio.
Hayabonyei Kabisa??QFL ni mazuri ila siwezi weka ulinganisho na kampuni nyingine kwa kuwa sijawahi kutumia.
Mimi ni mteja loyal wa QFL na haijawah niangusha
Kulalia Usinzigi, KUBONYEA VIPI??Matumizi yako tu. Yote mazuri
ThanksTan form ARUSHA, nadhan ukipata kutoka kwa Wakala moja kwa moja, ni mazuri sana na wanayo Hadi yanayotibu mgongo, yanayonesa nk.
Ni mazuri ila kwa godoro lolote suala la kubonyea linaendana na muda. Pia naona kama magodoro ya sasa ni hovyo ukilinganisha na zamaniHayabonyei Kabisa??
Mfuko Wa Cement[emoji3][emoji3]Kuna kampuni moja ipo Dodoma godoro lake nikilalia kama nimelala juu ya mfuko wa cement tafuta tanfoam hutojuta