Ni goli gani halitoki kwenye kumbukumbu zako??

Ni goli gani halitoki kwenye kumbukumbu zako??

Mechi ya Simba na timu moja ya Liberia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha miaka ya tisini. Dua Said anaingia kipindi cha pili dakika za lala salama watu wakiwa wameanza kutoka wakijua ngoma droo. Dua akachukua mpira na kukimbia nao hadi kwenye kona ya bendera na kumsubiri beki. Beki kusogea Dua Said akawa anamtisha kama anataka kumpiga chenga then ghafla akaubetua mpira kwa kisigino ukapanda hadi kwenye mabega na kumkwepa beki huku akitoka mbio na alimkwepa beki mpira ukiwa kwenye bega then ukadondoka akaingia nao kwenye kumi na nane kwa speed kali. Akiwa ameingia kwenye kumi na nane akapiga shuti kali likatinga nyavuni moja kwa moja! Sisahau jinsi tulivyoshangilia lile goli! Tukiwa karibia na geti la kutoka nje ya uwanja!
 
RVP v Spain (diving header)
RVP v Aston Villa (manutd
RVP v Everton (arsenal
Rooney V Mancity
Rooney V Everton
Tim Howard (from keeper to keeper)
Cantona V Mancity
C Ronaldo V Granada
C Ronaldo V Galatasaray
Giggs V Arsenal (FA CUP final)
Juan Mata V Liverpool
Giroud scorpion kick
Beckham V Real Madrid (free kick)
Ibrahimovic V England
Tom Cleverly V Newcastle
Zidane V Leverkusen
Pogba V Swansea

Hee.. Kiswahili kigumu
 
RVP v Spain (diving header)
RVP v Aston Villa (manutd
RVP v Everton (arsenal
Rooney V Mancity
Rooney V Everton
Tim Howard (from keeper to keeper)
Cantona V Mancity
C Ronaldo V Granada
C Ronaldo V Galatasaray
Giggs V Arsenal (FA CUP final)
Juan Mata V Liverpool
Giroud scorpion kick
Beckham V Real Madrid (free kick)
Ibrahimovic V England
Tom Cleverly V Newcastle
Zidane V Leverkusen
Pogba V Swansea
Huwezi kukumbuka magoli yote haya...'!! Kama kweli unayambuka vizur mpk yalivyofungwa, then u r real genious...!!!!
 
Huwezi kukumbuka magoli yote haya...'!! Kama kweli unayambuka vizur mpk yalivyofungwa, then u r real genious...!!!!
sasa hapo nimewezaje kuandika sikumbukuki, wewe uliza goli gani lilifungwa vipi nikuadisie
 
Goli la V.Persie lile la kichwa kombe la dunia hatari sana kama alipaaaa hewani hivi aisee sema sikumbuki ilikuwa uholanzi na nani
 
Kuna Goli nilifunga juzi kwenye ndondo huku kitaani Namtumbo.
nikikuwa katikati ya dimba pale,kipa wao alidaka mpira akaupiga mbele,ukanikuta Mimi pale kati ya uwanja,nikapiga kichwa cha nguvu ,moja kwa moja goli.
Ilikua dakika ya 90 na matokeo yalikua 0_0.
Leo tunacheza fainali
 
Goli la Arjen roben vs Manchester united na ubao ukasoma 3 kwa 2, huwa silisahau hili goli.
 
Kuna Goli nilifunga juzi kwenye ndondo huku kitaani Namtumbo.
nikikuwa katikati ya dimba pale,kipa wao alidaka mpira akaupiga mbele,ukanikuta Mimi pale kati ya uwanja,nikapiga kichwa cha nguvu ,moja kwa moja goli.
Ilikua dakika ya 90 na matokeo yalikua 0_0.
Leo tunacheza fainali
Hahahahah mkuu huu ni uongo wa wazi kbs
 
Goli la Kichuya dhidi ya Yanga... Kona ya moja kwa moja.

Liliufanya mji wa Dar utulie kabisa, na watanzania tukakwepa kelele za vyura...
LA mechi ya pili ya season iliopita ndio lilikuwa Kali zaidi. Ali dribble kwa mguu wa kushoto akitokea upande wa kulia, akapiga "curled volley" matata sana. Ndala kapigwa 2-1 na wachezaji 11 kasoro mmoja.
 
Cristiano Ronaldo vs Fc porto mwaka 2009 estadio de dragao...40-yard strike, it was fantastic.
 
Goli la Kichuya dhidi ya Yanga... Kona ya moja kwa moja.

Liliufanya mji wa Dar utulie kabisa, na watanzania tukakwepa kelele za vyura...
Hayo magoli yamefungwa mengi tu juzi mchezaji wa Stand kawafunga mbumbumbu fc
 
Back
Top Bottom