Ni hadaa na kujidanganya kwamba mahitaji muhimu sana ya wananchi wa Tanzania ni sheria za uchaguzi kubadilishwa

Kwani mahitaji ya wa Tanzania ni ya yapi?
ni vizuri ungefuatilia vyema wanachohubiri vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, ambao baadhi yao wanaona kwamba wao kupata vyeo na madaraka ya uongozi ndiyo mahitaji muhimu na makubwa zaidi ya wananchi wa Tanzania
 
ni vizuri ungefuatilia vyema wanachohubiri vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, ambao baadhi yao wanaona kwamba wao kupata vyeo na madaraka ya uongozi ndiyo mahitaji muhimu na makubwa zaidi ya wananchi wa Tanzania
Ni wepi hao vibaka na matapeli wa kisiasa nchini niifuatilie, na kwanini hawashtakiwi Kwa ukibaka wao na utapeli wao hapa nchini, je! Wapo juu ya Sheria?
 
dah gentleman,
kwani katiba inaseamaje kuhusu mahitaji muhimu ya kila siku ya wananchi kama vile maji, afya , elimu, kilimo n.k

tafadhali kwa faida ya wadau elezea kwa kina kifupi
 
Ni wepi hao vibaka na matapeli wa kisiasa nchini niifuatilie, na kwanini hawashtakiwi Kwa ukibaka wao na utapeli wao hapa nchini, je! Wapo juu ya Sheria?
ni muhimu kujihadhari sana ikiwa huna uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya vibaka hao na matapeli wa kisiasa nchini, ambao hawataki kabisa kueleza nini watafanya kuhakikisha huduma muhimu za msingi za wananchi kama vile maji, afya, kilimo, elimu n.k zinakua bora zaidi kuliko wanavyoona, bali wao hupambana kupata vyeo na madaraka pekee.

kaa chonjo na kaa tayari kutapeliwa
 
Shida zote unazozitaja zimeletwa na kuendelezwa na viongozi wasio na maono. Na viongozi hao wamepatikana kupitia mfumo mbovu wa uchaguzi unaolalamikiwa.
shida gani nilizozitaja na zitatatuliwaje na vibaka wa siasa nchini kwa mfano gentleman?
 
Kwanini mamlaka ziruhusu shughuli za vibaka na matapeli kufanyika nchini, je! Wapo juu ya sheria?
 
Kwanini mamlaka ziruhusu shughuli za vibaka na matapeli kufanyika nchini, je! Wapo juu ya sheria?
kwanza hakuna mahali wanaenda, wala hakuna kitu ya maana watafanya, ispokua wataishia kupiga kelele na kubwekabweka tu huo kwenye majukwaa ya kisiasa,

lakini mwisho wa hadaa zao, mdomo wao, makelele yao na utapeli wao wa kisiasa kwa wananchi, ni mapema oct.2025 kwenye sanduku la kura,

hapata kua na kibaka wala tapeli yoyote wa kisiasa nchini, baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema oct.ya mwaka huu 2025
 
Kama ulivyodanganywa wewe na ccm
 
Kama ulivyodanganywa wewe na ccm
Gentleman,
kwamba kibaka na tapeli wa siasa nchini kuomba kuchangiwa pocket money mara kwa mara ndiyo heshima, na kwamba habari ya kuchangiwa pesa ya kula na kunywa ni uongo, right?
 
Bila shaka wewe ni mnufaiko mkubwa wa hiyo system mbaya ya uchaguzi inayolalamikiwa.
system ya uchaguzi wa chadema au?
maana ililalamikiwa sana kwa makelele mengi na vibaka na matapeli wa siasa,

hivi imebadilishwa kweli au ndio ile nyani haoni kundule kanya twende?
 

Propaganda za kijinga kuelekezwa kwa wajinga.
 
Hu Huja nijibu maswali yangu. Inaonekana wazi huna hoja.

Ukiacha mahitaji mengine ya Kila siku. Pia kuwa na mamlaka au Power au kutambuliwa ni hitaji la asili la mwanadamu yeyote.

Mtanzania ni binadamu hayo pia ni mahitaji yake.

Ndio maana watu hujitosa kugombea naafasi mbalimbali, kutafuta kuoandishwa vyeo ili kukidhi hitaji hilo la mamlaka au kutambuliwa.

Unapofurahia haki yako hakikisha haungandamizi haki ya Mtu mwingine.
 
Propaganda za kijinga kuelekezwa kwa wajinga.
nadhani kukosa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi iliyoko mezani ni kitu mbaya zaidi, huamsha mihemko na makasiriko tu bila sababu
 
kama kiongozi na mtaalamu mwandamizi wa siasa za Tanzania,

furaha yangu ni kuona wananchi wanafurahia kupata mahitaji yao muhimu ya msingi ya kila siku kama vile maji, afya, elimu, nishati n.k kwa uhakika na ubaora unaostahili.

kiongozi anaepambana na mahitaji ya wananchi kinyume na haya ya kila siku ni tapeli na kibaka wa siasa,

utahangaika sana na majibu yako ya mfukoni ukitarajia nikujibu upendavyo kama mwanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…