Ni hadaa na kujidanganya kwamba mahitaji muhimu sana ya wananchi wa Tanzania ni sheria za uchaguzi kubadilishwa

Kwani mahitaji ya wa Tanzania ni ya yapi?
ni vizuri ungefuatilia vyema wanachohubiri vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, ambao baadhi yao wanaona kwamba wao kupata vyeo na madaraka ya uongozi ndiyo mahitaji muhimu na makubwa zaidi ya wananchi wa Tanzania :pedroP:
 
Ni wepi hao vibaka na matapeli wa kisiasa nchini niifuatilie, na kwanini hawashtakiwi Kwa ukibaka wao na utapeli wao hapa nchini, je! Wapo juu ya Sheria?
 
Natamani nione sura Yako na kujua elimu

Natamani kujua elimu Yako. Ni kwa sababu elimu Yako haikusaidia kujua kuwa katiba mbovu na tume mbovu inachangia kuweka viongozi wabovu wanaoshindwa kusimamia hayo unayosema ni ya msingi kwa maendeleo ya wananchi
dah gentleman,
kwani katiba inaseamaje kuhusu mahitaji muhimu ya kila siku ya wananchi kama vile maji, afya , elimu, kilimo n.k

tafadhali kwa faida ya wadau elezea kwa kina kifupi:pedroP:
 
Ni wepi hao vibaka na matapeli wa kisiasa nchini niifuatilie, na kwanini hawashtakiwi Kwa ukibaka wao na utapeli wao hapa nchini, je! Wapo juu ya Sheria?
ni muhimu kujihadhari sana ikiwa huna uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya vibaka hao na matapeli wa kisiasa nchini, ambao hawataki kabisa kueleza nini watafanya kuhakikisha huduma muhimu za msingi za wananchi kama vile maji, afya, kilimo, elimu n.k zinakua bora zaidi kuliko wanavyoona, bali wao hupambana kupata vyeo na madaraka pekee.

kaa chonjo na kaa tayari kutapeliwa:NoGodNo:
 
Shida zote unazozitaja zimeletwa na kuendelezwa na viongozi wasio na maono. Na viongozi hao wamepatikana kupitia mfumo mbovu wa uchaguzi unaolalamikiwa.
shida gani nilizozitaja na zitatatuliwaje na vibaka wa siasa nchini kwa mfano gentleman?:pedroP:
 
ni muhimu kujihadhari sana ikiwa huna uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya vibaka hao na matapeli wa kisiasa nchini, ambao hawataki kabisa kueleza nini watafanya kuhakikisha huduma muhimu za msingi za wananchi kama vile maji, afya, kilimo, elimu n.k zinakua bora zaidi kuliko wanavyoona, bali wao hupambana kupata vyeo na madaraka pekee.

kaa chonjo na kaa tayari kutapeliwa:NoGodNo:
Kwanini mamlaka ziruhusu shughuli za vibaka na matapeli kufanyika nchini, je! Wapo juu ya sheria?
 
kwanza hakuna mahali wanaenda, wala hakuna kitu ya maana watafanya, ispokua wataishia kupiga kelele na kubwekabweka tu huo kwenye majukwaa ya kisiasa,

lakini mwisho wa hadaa zao, mdomo wao, makelele yao na utapeli wao wa kisiasa kwa wananchi, ni mapema oct.2025 kwenye sanduku la kura,

hapata kua na kibaka wala tapeli yoyote wa kisiasa nchini, baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema oct.ya mwaka huu 2025 :pedroP:
 
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k

Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.

Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.

Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025 :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Kama ulivyodanganywa wewe na ccm
 
Kama ulivyodanganywa wewe na ccm
Gentleman,
kwamba kibaka na tapeli wa siasa nchini kuomba kuchangiwa pocket money mara kwa mara ndiyo heshima, na kwamba habari ya kuchangiwa pesa ya kula na kunywa ni uongo, right? :pedroP:
 
Bila shaka wewe ni mnufaiko mkubwa wa hiyo system mbaya ya uchaguzi inayolalamikiwa.
system ya uchaguzi wa chadema au?
maana ililalamikiwa sana kwa makelele mengi na vibaka na matapeli wa siasa,

hivi imebadilishwa kweli au ndio ile nyani haoni kundule kanya twende? :pedroP:
 
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k

Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.

Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.

Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025 :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania

Propaganda za kijinga kuelekezwa kwa wajinga.
 
Hu
kwanza hakuna mahali wanaenda, wala hakuna kitu ya maana watafanya, ispokua wataishia kupiga kelele na kubwekabweka tu huo kwenye majukwaa ya kisiasa,

lakini mwisho wa hadaa zao, mdomo wao, makelele yao na utapeli wao wa kisiasa kwa wananchi, ni mapema oct.2025 kwenye sanduku la kura,

hapata kua na kibaka wala tapeli yoyote wa kisiasa nchini, baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema oct.ya mwaka huu 2025 :pedroP:
Huja nijibu maswali yangu. Inaonekana wazi huna hoja.

Ukiacha mahitaji mengine ya Kila siku. Pia kuwa na mamlaka au Power au kutambuliwa ni hitaji la asili la mwanadamu yeyote.

Mtanzania ni binadamu hayo pia ni mahitaji yake.

Ndio maana watu hujitosa kugombea naafasi mbalimbali, kutafuta kuoandishwa vyeo ili kukidhi hitaji hilo la mamlaka au kutambuliwa.

Unapofurahia haki yako hakikisha haungandamizi haki ya Mtu mwingine.
 
Propaganda za kijinga kuelekezwa kwa wajinga.
nadhani kukosa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi iliyoko mezani ni kitu mbaya zaidi, huamsha mihemko na makasiriko tu bila sababu :NoGodNo:
 
Hu
Huja nijibu maswali yangu. Inaonekana wazi huna hoja.

Ukiacha mahitaji mengine Kuwa na mamlaka au Power au kutambuliwa ni hitaji la asili la mwanadamu yeyote.

Mtanzania ni binadamu hayo pia mahitaji yake.

Ndio maana watu hujitoda kugombea naafasi mbalimbali ili kukidhi hitaji hilo la mamlaka au kutambuliwa.

Unapofurahia haki yako usiumize haki ya Mtu mwingine.
kama kiongozi na mtaalamu mwandamizi wa siasa za Tanzania,

furaha yangu ni kuona wananchi wanafurahia kupata mahitaji yao muhimu ya msingi ya kila siku kama vile maji, afya, elimu, nishati n.k kwa uhakika na ubaora unaostahili.

kiongozi anaepambana na mahitaji ya wananchi kinyume na haya ya kila siku ni tapeli na kibaka wa siasa,

utahangaika sana na majibu yako ya mfukoni ukitarajia nikujibu upendavyo kama mwanasiasa:pedroP:
 
Back
Top Bottom