Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuja na polojo, ungeeleza kwanza katiba ni nini, madhara na faida ya katiba kabla ya kuijadili kama tunaiitaji au hatuiitajiKumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k
Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.
Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.
Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025
Mungu Ibariki Tanzania
Hoja zako na za Mzee Wasira ni sawa. Mnatoa hoja as if mnaishi mwezini!shida gani nilizozitaja na zitatatuliwaje na vibaka wa siasa nchini kwa mfano gentleman?![]()
Gentleman,Kabla ya kuja na polojo, ungeeleza kwanza katiba ni nini, madhara na faida ya katiba kabla ya kuijadili kama tunaiitaji au hatuiitaji

ukweli ndivyo ulivyo,Hoja zako na za Mzee Wasira ni sawa. Mnatoa hoja as if mnaishi mwezini!

Ccm tz imetualibia vipaji, chawa wataenda kufa midomo waziKumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k
Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.
Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.
Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025
Mungu Ibariki Tanzania
Hawa jamaa ni vibaraka wa vikundi fulani vilivyoko nchi za ulaya hususani Ubelgiji na Ujerumani. Lengo lao ni kuleta machafuko nchini kwetu kama yale yanayoendelea huko DRC ili wapore utajiri wa rasilimali wa nchi yetu. Hawa jamaa hawana tofauti na lile kundi la M23 ambalo ni kibaraka wa nchi ya Rwanda.Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k
Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.
Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.
Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025
Mungu Ibariki Tanzania
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k
Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.
Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.
Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025
Mungu Ibariki Tanzania
huyu askofu namuheshimu sana,ASEMAVYO ASKOFU DKT. BAGONZA: RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU.
Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM.
Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM, lakini HALAZIMIKI kurithi misimamo ya JPM kuhusu chaguzi zetu na mahusiano mabaya na vyama vya upinzani.
Misimamo hiyo, ilivunja katiba, ilivunja haki za binadamu na iliifunga nchi.
Ndiyo maana Rais Samia aliamua kuondoa mazuio yaliyovunja katiba, akatamka hadharani kufungua nchi na kuzindua falsafa ya 4R ili kuliepusha taifa na sifa mbaya ya kuvunja haki za binadamu na kukosa utawala bora.
Kuhusu chaguzi zetu, yeye binafsi na pia wasaidizi wake walitamka hadharani kuwa yaliyotokea 2019 na 2020 hayatajitokeza tena.
Niliwahi kueleza kuwa mimi “ninaogopa” kuamini ahadi hizo kwa kuwa hazina misingi ya kisheria na kikatiba. Lakini kwa kuwa zilitolewa na viongozi walioapa kwa misahafu, niliamua kuishi kwa imani.
Swali: KWA NINI TUSIKUBALI UCHAGUZI KUFANYIKA KABLA YA MAREKEBISHO YA MAENEO MUHIMU YA KATIBA (Minimum Reforms).
Kufuatia kuapishwa kuwa Rais baada ya uchaguzi wa 2015, JPM alitoa amri ya mdomo ya kukataza shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani.
Amri hiyo ilikiuka Katiba ya JMT hususan Ibara za 12 hadi 21.
Kwa bahati mbaya watu na taasisi waliotegemewa kupinga au hata kukemea ukiukwaji huo wa Katiba ya JMT, walikaa kimya kana kwamba jambo hilo haliwahusu.
Wafuatao walipaswa angalau KUNUNA kwa ukiukwaji huo:
1. CCM na UONGOZI WA JUMUIYA ZAKE.
Kwa kuwa CCM haina baraza la Wazee, wale wazee wachache waliofunua midomo yao na kunong'ona, JPM aliwatisha kuwa wakome "kuwashwa washwa".
2.Bunge la JMT lenye mamlaka ya kuishauri na kuisimamia Serikali nalo liliufyata na kuanza kuimba masifu na mapambio kwa JPM.
3.Mwanasheria mkuu wa Serikali.
4.Msajili wa Vyama vya siasa.
5.Viongozi wa Asasi mbali mbali zinazohusika na utetezi wa HAKI
ZA BINADAMU.
Mtu pekee aliyejitokeza kupinga ukiukwaji huo wa Katiba kwa njia ya UJASIRI na UWAZI ni TUNDU ANTIPAS LISSU ambaye alikuwa Rais wa TLS wakati huo.
Matokeo yake alishambuliwa kwa risasi nyingi. Ni Rais Samia pekee aliyejitoa mhanga akiwa Makamu wa Rais aliyefika Nairobi kumjulia hali Tundu Lisu.
Ilipofika 2019, JPM alitoa tamko jingine la kuvunja KATIBA pale alipowaagiza Wakurugenzi (DED) kutowatangaza wapinzani kama Washindi kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na mwaka uliofuata,2020 uchaguzi mkuu.
Amri hiyo ya JPM ilikiuka Katiba kwa uwazi kabisa.
Na, kama ilivyokuwa kwa amri ya awali ya katazo la shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani, WOOTE WALIOPASWA KUIPINGA walinyamaza kimya.
Baada ya kifo cha JPM, Rais SSH, hatimaye alitengua katazo la shughuli za kisiasa lakini BILA SHAKA KWA MAKUSUDI hakusema kitu juu ya Amri ya pili ya mtangulizi wake.
Matokeo yake uliotegemewa kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2024 umechukua sura ile ile ya uchaguzi wa 2019. NI KUTOANDIKISHA WAPIGA KURA KWENYE NGOME ZA WAPINZANI, KUWAENGUA WAGOMBEA WAO WENGI, KUTOWARUHUSU MAWAKALA WA VYAMA VYA UPINZANI na KUTOWATANGAZA WAPINZANI hata pale walipoonekana kushinda. Hili ni donda ndugu linalochafua “Legitimacy” ya viongozi wetu wa vitongoji.
Kama ilivyokuwa 2019 na 2020, mchakato wote wa Uchaguzi wa 2024 umekiuka Katiba ya JMT, sheria zoote husika na MISINGI ya kuendesha Uchaguzi KWA JAMII INAYOJIESHIMU.
MILA ZETU ZA KIAFRIKA ZINASISITIZA KWAMBA KUNA KIWANGO CHA CHINI KABISA CHA MTU AU JAMII KUJIHESHIMU, ISIPOKUWA KAMA MTU NI PUNGUANI.
Swali: NINI KITATOKEA ENDAPO TUTAENDA KWENYE UCHAGUZI WA 2025 BILA MAREKEBISHO?
Kwanza,Rais SSH bado hajatengua amri ya JPM ya KUWAKATAZA ma DED kuwatangaza WAPINZANI kama washindi wa Ubunge na Udiwani.
Pili,Tume ya Uchaguzi iliyobatizwa jina la HURU bado ni ileile kuanzia uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu wake na wajumbe wengine. Ni hivyo hivyo kwa Mkurugenzi na Sekretarieti ya Tume.
Tatu, na jambo baya zaidi ni kwamba uchaguzi wa 2019,2020 na 2024 UMESABABISHA MAJERAHA MAKUBWA KWA DHAMIRI ZA WATANZANIA WOTE walioshiriki kuuandaa, kuusimamia na kutangaza Matokeo yake.
Waasisi wa Taifa letu na hususan Mwl.J.K Nyerere walifanya kazi kubwa ya kutufanya wamoja.
TUNAISHI, TUNAFANYA SHUGHULI ZOOTE ZA KISIASA,KIJAMII,KIDINI bila kujali Makabila yetu,dini zetu,rangi zetu, hali ya maisha nk. Kwa sababu hiyo hakuna siri miongoni mwa Watanzania.
Hujuma zoote zilizofanyika kwenye chaguzi zetu zinajulikana na kusambaa haraka miongoni mwa Watanzania.
Kutokana na chaguzi hizo CCM na Serikali yake imefanikiwa kujenga jamii ya mamilioni ya watu ambao dhamiri zao zimekufa;
1. Wanafanya UDANGANYIFU kwenye hatua zote za mchakato wa uchaguzi.
Hawa ni. Ma RC, MaRAS, Ma DC, ma DAS, MaDED, WATENDAJI WA KATA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, Wasimamizi ambao ni watumishi wengine wa Umma kama Walimu nk.
Ukiondoa walio makada, waliobaki wanatii amri ili kutunza ajira zao (si ajabu hata mimi ningefanya labda!)
Matokeo yake tumegeuka Taifa la WEZI, WAONGO, WALAGHAI, MATAPELI, WANAOGHUSHI nk. Watu ni waongo, mifumo ya Tehama inachezewa na taifa linafilisiwa na wanaoitwa wataalam wa IT (TEHAMA).
Tukiendekeza wizi na ulaghai kwenye chaguzi zetu, tutazidi kubomoa JINA na HESHIMA YA NCHI YETU ILIYOJENGWA KWA JUHUDI, MAARIFA NA KUJITOA SANA KWA WAASISI WETU. TUNAIKARIBIA NIGERIA.
Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu lililojengwa kwa gharama kubwa na waasisi wa taifa letu.
Niliwasikia kwa masikio yangu baadhi ya viongozi wa sasa wa serikali yetu wakijiapiza kuwa “yakiyojitokeza katika awamu ya tano, yasiruhusiwe tena”.
Rais Samia ana historia ya kujenga na tayari anayo. Ana Legacy ya kuacha, si kubebana na ya awamu ya tano. CCM bado inao uwezo mkubwa wa kushinda chaguzi bila ulazima wa “kuonekana” inaiba kura. Naogopa kuamini kuwa sifa ya mwana CCM ni kuiba kura! Inatisha.
Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi.
JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu.

huyu askofu namuheshimu sana,
nakumbuka alilalamika sana japo kwa unafiki wa mafumbo mitandaoni kuhusu uchaguzi wa mkuu wa kanisa la KKKT, mpaka akasusa na kukimbia ukumbi wa uchaguzi, baada ya kuona hata hakupendekezwa na waliodai anafaa kua mkuu wa kanisa hilo kabla.
ingekua amechochea walau mageuzi kidogo tu ya sheria na katiba walau ya kanisa lake kuhusu chaguzi ningemtilia maanani kidogo, lakini vinginevyo ni sawa na hawa vibaka na matapeli wa siasa za Tanzania tu,
ni muhimu akapuuzwa pia![]()
una hoja ya maana sana gentleman,Hawa jamaa ni vibaraka wa vikundi fulani vilivyoko nchi za ulaya hususani Ubelgiji na Ujerumani. Lengo lao ni kuleta machafuko nchini kwetu kama yale yanayoendelea huko DRC ili wapore utajiri wa rasilimali wa nchi yetu. Hawa jamaa hawana tofauti na lile kundi la M23 ambalo ni kibaraka wa nchi ya Rwanda.
Si watu wa kubezwa kwani wanasema wazi wazi kuwa wamejipanga kuzuia kwa nguvu huu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wanasema wameamua kukinukisha mwaka huu. Hivyo inawezekana wanaandaa kikosi kama kile cha M23 kufanikisha azima yao hiyo. Kikosi tunachoweza kukiita M25. Hivyo wananchi na majeshi yetu inapaswa kufuatilia kwa kina mienendo ya vibaraka hawa na kuwa tayari kupambana nao wakati wo wote kuzia hicho wanachopanga kufanya. Ibaki no reform no election imaanishe no reform no chadema = no reform the end of chadema.

my lady,Samahani. Natamani kuona majibu yako dhidi ya hoja zake, with counter evidence provided. Usijadili dosari za mleta hoja. Hata wewe unazo dosari zako. Mfano kuna demu mmoja anasemaga kuwa wewe ni "shoka moja mbuyu chini". Lakini tuhuma hizi hata kama ni za kweli hazina umuhimu wala ulazima ktk jukwaa hili wala kwenye hoja yako ya lei. Kuna watu ni wezi lakini wakisema wizi ni kosa la jinai wanakuwa sahihi. Epuka hoja zenye upindifu wa kimantiki. Yaani logical fallacies.

Hayo maji elimu na afya viko wapi?mara ngapi wananchi wanavilalamikia hawavipati?mi nadhani bado ipo changamoto kuhusu uelewa na ufahamu wa wanasiasa juu ya nini hasa mahitaji ya wananchi.
naona ni mwendo wa kuzungumzia mahitaji ya viongozi tu ya vyeo na madaraka.
kwanini matapeli na vibaka wa kisiasa hawapendi kuzungumza kuhusu mahitaji ya kila siku ya wananchi, mathalani maji, elimu na afya?
au mambo hayo yamefanyika vizuri zaidi na kuwatosheleza wananchi kiasi kwamba waone sheria za uchaguzi ndio muhimu zaidi ya mahitaji mengine ya kila siku?![]()
my lady,
ni kupoteza muda kujadili hoja ya mtu mwenye dosari na kasoro lukuki, anazolalamikia kwa uchungu sana kwenye taasisi yake na hajazifanyia kazi, eti halafu anakuja kuibua dosari na kasoro kwenye taasisi nyingine,
nadhani huko kutakua ni kutapeliwa kifikra sasa, na kwahivyo hakuna haja ya kubabaika na hoja za askofu tapeli kisiasa![]()
hayo mambo ya udanganyifu katika kura huwa ni dhana potofu na drama tu za kisiasa, hayanaga ukweli wowote my lady,Kuna utapeli mkubwa kuliko kitendo cha kusaka ushindi wa kisiasa kwa kutumia mbinu haramu za (1) PREMARKED BALLOTS na (2) KUENGUA WAGOMBEA HALALI KWA KUTUMIA HADAA ZA KISHERIA tena katika nchi nzima kwenye chaguzi tatu mfululizi hapa nchini Tanzania katika miaka ya 2019, 2020, na 2024?
Kuna usanii mkubwa kuliko kitendo cha MKUTANO MKUU WA CCM kumpitisha mgombea Urais 2025 ambaye bado hajajaza fomu kwa mujibu wa Kanuni za chama wakati mkutano haukutaja ajenda ya kutengua kanuni hizo kwa.muda ili kuhalalisha ajenda husika?
Unabahatisha sana. Lakini kumbuka:
Tunaweza kuwapotosha watu wachache siku zote. Tunaweza kuwapotosha watu wote kwa siku chache. Lakini hatuwezi kuwapitosha watu wote siju zote. Uvumilivu huwa na ukomo. Na ukomo umefika tauari. Saa ya mageuzi ya kimfumo ni sasa.
Chama hakina wanachama huku chini. Hakina uongozi eti nacho kinajigamba kuwa ikiwepo Tume Huru ya Uchaguzi eti kitashinda Urais. Urais wa JMT sio sawa na kuwa Mwenyekiti wa SACCOS kama Chadema.Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k
Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.
Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.
Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025
Mungu Ibariki Tanzania
umejiuliza mbona kibaka na tapeli wa siasa havizungumzii?Hayo maji elimu na afya viko wapi?mara ngapi wananchi wanavilalamikia hawavipati?
Ninyi mliojiunga na JF recently hususani 2020s mpo KICHAWA. Huwezi kupinga kwamba ubovu wa hali hapa nchini sababu yake ni utawala mbovu na chanzo ni uchaguzi hufanyika kama kiini macho kwasababu ya tume mbovu ya uchaguzi. Ili kukukumbusha ubovu wenyewe mfano halisi ni uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Ule siyo uchaguzi huru bali wizi huru wa kura.Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k
Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.
Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.
Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025
Mungu Ibariki Tanzania
hayo mambo ya udanganyifu katika kura huwa ni dhana potofu na drama tu za kisiasa, hayanaga ukweli wowote my lady,
wagombea wasio kidhi sifa na vigezo stahiki vya kisheria na kikatiba hawastahili kupewa fursa ya kugombea, ni muhimu sana kuenguliwa na hata kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi October wataenguliwa tu vizuri sana kwasababu hawana sifa za kikatiba kua viongozi.
kuhusu CCM,
nadhani jambo ni lao na wameamua kadiri walivyoona inafaa kulingana na sheria na katiba yao, na binafsi naona ni miongoni mwa maamuzi muhimu sana ya kihistoria wameyafanya CCM na kuviacha vyama vingine vya siasa vilivyo kua vinasubiri wagombea wa kuokoteza watakao enguliwa kwenye mchachakato wakiwa waneduwaa wasijue la kufanya.
Jambo la mwisho,
nasisitiza kujiepusha kurubuniwa na kutapeliwa kifikra na vibaka wa kisiasa nchini.
Mageuzi katika nchi hii hayafanyiki bila kwanza CCM kuamua. Na hii ni kumaanisha, mustakabali wa taifa letu upo chini ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan