Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #81
dah! gentleman,Sidhani kama unaongea kwa faida ya nchi au kwa faida yako mwenyewe kama ni kwa faida yako na tumbo lako upo sahihi, hata kama, Chama chako tu ndicho wagumbea wake watapitishwa na hiyo mnayo iita tume huru haina shida. Kwakuwa mnanufaka na kufaidika na hali ilivyo sasa wewe unaona ni sawa tu, vyovyote vile vyama vingine vinavyo fanywa bora tu nyie mnufaike. Sidhani chaguzi na viongozi wa kuchaguliwa kinamnaa hii wanatija yoyote kwa wananchi ndiyo maana wanajijazia masuru kwakuwa wanajuwa wamejiweka pale kwa ajili hiyo. Wala karne hii nchi kama tanzania haikupaswa kuzungumzia maswala ya maji, barabara, matundu ya choo, karne tulipaswa kuzungumzia maswala mazito ya kuhusu kuimari, sa uchumi wetu ila mpaka leo tunafikiria kutafuta wawekezaji waje wavune rasilimali zetu tulizo pewa na mungu wala hatufanyi jitihada zozote za kuwaandaa watu wetu kuweza kusimamia njiia kuu za uchumi.Fikra zako ni mfu wala ujui unalo lizungumza. Viongozi wanaopatikana kwa njia haramu huja kuondolewa kwa njia harama na hapo ndipo huchumi huribika kabisa. C. C. M ikiharibu uchaguzi huu ijue itarudisha nyuma uchumi wetu mara kumi ya wamagufuli na damage yake haitaweza kuimari,, ka kwa kipindi kifupi. Najua kuwa mikakati yote tayari imeshakuwa tayari, ila athari yake sijui kama wameipigia mahesabu. Kuteka, kuua nakupoteza watu wala haitakuwa suruhu yakuwanyamazisha watu ila, kadiri mnavyozama ndivyo mnavyo teketea. Wekeni tume huru bado mnauwezo wa kushinda kwa mda mrefu ingawa ushindi hautakuwa wak,, kishindo.
una mambo mengi moyoni, pole aise 🐒
