Ni haki Simba SC kumbadili kocha kipindi hiki

Ni haki Simba SC kumbadili kocha kipindi hiki

enovie

Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
12
Reaction score
7
Taarifa zilizo sambaa katika magazeti mengi siku za hivi karibuni zinaoneseha wazi Simba SC inajipanga kutafuta mbadala wa kocha Omog aliyopo hivi sasa.

Ukiangalia Omog ameisaidia Simba SC kuirudisha katika mashindano ya kimataifa iliipigania kwa miaka mingi na makocha kedekede. Pia Omog ameisaidia kuitengeneza Simba SC kucheza soka safii kabisa linaloonekana hivi sasa. Omog pia amesaidia kutengeneza discipline ndani ya club akishirikiana na kocha Mayanja ambayo ilipotea kwa muda mrefu.

Omog amesaidia kuondoa tatizo la wachezaji kuchoka upesii ambalo ndo lilikuwa tatizo kubwa kwa wachezaji was Simba SC

JE NI SAHIHI KUMTIMUA KIPINDI HIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omogi ameshindwa kuunga stricking force na kingine kuchelewa kufanya sub. Haya si matatizo ya kumfukuza kocha. Ikifika mechi amwachiea Mayanja apange kikosi ushindi unapatikana tu. Bado mapema sana kuwaza hayo.
 
Anazingua,sabu za maana anakuja kuingiza dk ya 85
 
Back
Top Bottom