Ni haki ya kikatiba Wananchi kupewa Taarifa muhimu. Je, Rais, Bunge au Mahakama ni nani?

Ni haki ya kikatiba Wananchi kupewa Taarifa muhimu. Je, Rais, Bunge au Mahakama ni nani?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Hakuna mtu awaye yeyote anahaki kuzuia taarifa kwa wanachi awe
Nani au nani hana power kuzuwia taarifa muhimu za majanga au tahadhari kwa wananchi. Taarifa za afya ni taarifa muhimu kwa taifa na jamii husika ndio maana kila Hosp au kituo cha afya taarifa hizi huwekwa kwenye ubao. Hii nikusaidi watu kuchukua tahadhari nakuongeza Mapambano ya ugonjwa unao ongoza maambukizi.

Taarifa za hali ya hewa ,vita na majanga sio secret. Hivyo kukiwa na majanga nijukumu la serikal kutoa taarifa tena taarifa sahihi. Hakuna kiongoz au Raia anaweza hold information muhim kama hii ya ugonjwa wa Covid 19.

Kitendo cha serikal kukaa kimya na kuwapa watu miili ya covid 19 italeta huzuni na hasara kubwa kwa serikali. Kama mnafikiri itapunguza panic basi nawaambia even serikal haipo salama kwa kuficha taarifa. Watoto wenu, ndugu zenu watakufa pia kwa kuficha hizi taarifa na mwisho wananchi shupavu watajiunga kudai ma bilion ya shilingi kwakisababisha hasara ktk familia zao.

Sipati picha kesi hizi zitakuwaje ila nihatari.
 
Mkuu Tumain El hongera sana kwa akili kukurudia coz zamani ulikuwa kichaa!kamuombe Ben saanane msamaha au hata kaburi kama lipo hata kama ni joka lilimmeza!!!Kuhusu Covid 19 imekuja kumchukua wa chattle ili kutuondolea kero!!!Endelea kufuata taratibu za afya!!!
 
Sasa kila mtu atoe data zake za corona.
maana hatuwezi kila siku tukaimba Wimbo mmoja CORONA.
Kuna maisha baada ya corona.
kwa hyo ukiona watu wanakufa kwa corona sawaa,ukiona wagonjwa wengi wa corona sawaa.
Maana hata ukijua data sahihi sio dawa ya corona..
Kila mtu aangalie atajilinda vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂 naamini bado kitambo kidogo watanzania wote tutaongea lugha moja!! Mkuu hebu waambie Hawa kina Bia yetu kuwa wewe ndiye ulikuwa mbeba mikoba ya pale mjengo ila yamekufika...😂
 
Katiba ipi, ya sasa au ile Magufuli aliyosema sio kipaombele? Maana kama ni katiba ya sasa kunajisiwa basi ilishakuwa sugu!
 
Back
Top Bottom