Hakuna mtu awaye yeyote anahaki kuzuia taarifa kwa wanachi awe
Nani au nani hana power kuzuwia taarifa muhimu za majanga au tahadhari kwa wananchi. Taarifa za afya ni taarifa muhimu kwa taifa na jamii husika ndio maana kila Hosp au kituo cha afya taarifa hizi huwekwa kwenye ubao. Hii nikusaidi watu kuchukua tahadhari nakuongeza Mapambano ya ugonjwa unao ongoza maambukizi.
Taarifa za hali ya hewa ,vita na majanga sio secret. Hivyo kukiwa na majanga nijukumu la serikal kutoa taarifa tena taarifa sahihi. Hakuna kiongoz au Raia anaweza hold information muhim kama hii ya ugonjwa wa Covid 19.
Kitendo cha serikal kukaa kimya na kuwapa watu miili ya covid 19 italeta huzuni na hasara kubwa kwa serikali. Kama mnafikiri itapunguza panic basi nawaambia even serikal haipo salama kwa kuficha taarifa. Watoto wenu, ndugu zenu watakufa pia kwa kuficha hizi taarifa na mwisho wananchi shupavu watajiunga kudai ma bilion ya shilingi kwakisababisha hasara ktk familia zao.
Sipati picha kesi hizi zitakuwaje ila nihatari.