Ni halali kula samaki siku ya ijumaa kuu..

Ni halali kula samaki siku ya ijumaa kuu..

usile nyama siku ya ijumaa na siku nyingine zilizo katazwa .ni amri ya kanisa..kwa katoliki labda uko kwenu madhehebu mengine ndo hadi ufunge
Kifungu gani au mstari gani katika biblia unakataza watu kula nyama Siku ya Leo?
 
Mi leo nimekula samaki jamani, nadhani samaki sio tatizo kwa ijumaa kuu,

labda kwa wale wenye imani kwamba samaki alimmeza Yona hivyo hawawezi kula samaki
 
Mi leo nimekula samaki jamani, nadhani samaki sio tatizo kwa ijumaa kuu,

labda kwa wale wenye imani kwamba samaki alimmeza Yona hivyo hawawezi kula samaki
Wewe kaungame tu usitafute kuhalalisha dhambi, yaani unakwanyua minofu ya samaki afu unaamini hiyo siyo nyama???
 
Kuna Mangi mmoja kasema yeye hali nyama bali atakula utumbo tu !!!
 
Back
Top Bottom