Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Halaf wanawake wasio bikra wanavojifanyaga wana wivu kwenye mahusiano matapeli wakubwa hawa
 
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,

Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa

Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.

je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
Kunamhubiri mmoja Riverside alisema mwananke sio bikra hiyo mke wa mwenzio aliemtoa aisee akaomba tukatubu tunaojiita tunawake ambao atukuwakuta bikra(siomm)
 
Back
Top Bottom