Ni halali kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzako, yaani kuungama?

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?

Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
 
Kutubu ni kufanya nini?

Zambi ni zipi?

Tukipata haya majibu tutajua kama ni sahihi
Toba katika muktadha wa Kanisa Katoliki, haswa inaposhughulikiwa na au mbele ya Makardinali na Papa, inaeleweka kama wongofu wa kimsingi, wa ndani - kurudi kwa Mungu na badiliko la moyo (metanoia), badala ya kufanya tu matendo ya nje ya toba. Ni mchakato unaohusisha kutambua kuongokaka kwa mtu mbele ya upendo wa Mungu, kuungama dhambi, na kuazimia kurekebisha maisha yake.
 
Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?
Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
Sometimes huwa najiuliza, kwa nini mnapenda kufuatilia dini ambayo siyo yenu... Au ndo dalili zenyewe za kutokuwa na akili kichwani?? 🤔 🤔 🤔
 
Isome kwanza doctrine ya dhana ya kuungama utapata maarifa mengi
Hakuna maarifa hapo ni ujinga tu,mosi,hao makasisi kujipa daraja la umungu kwa wafuasi, mentality inayomchanganya ruwaichi kuona kondoo wanapoteza utii
Pili ni njia ya kukusanya taarifa,ukachero,ukizingatia kanisa lilikua serikali huko mwanzo,ungama ujambazi,miezi sita umedakwa
 
Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?
Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
Akili za MTU mweusi,watu wanatengeneza, AI, EV,(gari za umeme), bslistic missile, Magari, ndege, wewe unawaza dini! Basi nenda kazungukd jiwe Mecca, na kulipiga mawe,
 
Sometimes huwa najiuliza, kwa nini mnapenda kufuatilia dini ambayo siyo yenu... Au ndo dalili zenyewe za kutokuwa na akili kichwani?? 🤔 🤔 🤔
Unapoambiwa ukweli usiukwepe inawezekana ikawa ndiyo njia yako ya kupata msaada,usifanye kitu ambacho hakina majibu mazuri
Nilikuwa South Afika na Mozambique mwaka 1997 nikawa naongea na baadhi ya majirani zangu kuhusu madhira waliopitia katika kupigania uhuru wao kwa Mozambique na Ubaguzi wa rangi kwa South Africa,kumbuka dini haikujihusisha na siasa ingawa ilikuwa iko bega na serikali iliyokuwa madarakani kipindi hicho kama vile Bakwata na CCM,majibu niliyopewa ni kwamba wakoloni au kabul kwa upande wa pili walikuwa na conection moja kwa moja na makanisa na vituo vya polisi,yaani unaenda kuungama kwa padri mzungu awe wa kireno au kabul kwamba nimeuwa wazungu basi unapewa sara ndefu huku wanawasiliana na polisi mwisho wa siku utakamatwa ukiwa umeshatoka inje ya kanisa utapelekwa polisi ukaungame vizuri,hii stori sijaitunga ni kweli kabisa
 
Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?
Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
HUO NI USENGE
 
Hakuna maarifa hapo ni ujinga tu,mosi,hao makasisi kujipa daraja la umungu kwa wafuasi, mentality inayomchanganya ruwaichi kuona kondoo wanapoteza utii
Pili ni njia ya kukusanya taarifa,ukachero,ukizingatia kanisa lilikua serikali huko mwanzo,ungama ujambazi,miezi sita umedakwa
NILISHA WAAMBIA WAISLAMU NA WAKRISTO KUWA UKISIKIA NENO DHEHEBU AU MADHEHEBU TAMBUA KUWA HUO NI UPUMBAVU MKUBWA SANA ...HATA HAYO MAMBO YA KUUNGAMA DHAMBI KWA KIONGOZI WA DINI NI MAFUNDISHO YA MADHEHEBUNI...NI UANITHI MKUBWA SANA WA AKILI.
 
Back
Top Bottom