maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Katoriki = Katoliki.Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoriki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?
Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
kwenda kufanya kitubio yaani ukamwambia Padiri makosa yako yote uliyomkosea Mungu kama kuzini,kuiba halafu baadaye akakwambia nimekusameheKutubu ni kufanya nini?
Zambi ni zipi?
Tukipata haya majibu tutajua kama ni sahihi
Hapana hiki ni kizazi cha kuhoji hakiwezi kuyaacha mambo yapite tunaitaji kulijadili hiliKila Mtu Ana imani yake iheshimu tu,kama wewe huwezi kuconfess then waache wanaoweza, kila mtu ana uhuru wa imani kwenye nchi hii
Kwani ni vibya kukiri kwa mtu ulie mtendea vibya na kumwomba msamaha?kwenda kufanya kitubio yaani ukamwambia Padiri makosa yako yote uliyomkosea Mungu kama kuzini,kuiba halafu baadaye akakwambia nimekusamehe
Toba katika muktadha wa Kanisa Katoliki, haswa inaposhughulikiwa na au mbele ya Makardinali na Papa, inaeleweka kama wongofu wa kimsingi, wa ndani - kurudi kwa Mungu na badiliko la moyo (metanoia), badala ya kufanya tu matendo ya nje ya toba. Ni mchakato unaohusisha kutambua kuongokaka kwa mtu mbele ya upendo wa Mungu, kuungama dhambi, na kuazimia kurekebisha maisha yake.Kutubu ni kufanya nini?
Zambi ni zipi?
Tukipata haya majibu tutajua kama ni sahihi
Sometimes huwa najiuliza, kwa nini mnapenda kufuatilia dini ambayo siyo yenu... Au ndo dalili zenyewe za kutokuwa na akili kichwani?? 🤔 🤔 🤔Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?
Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
Uhalali huo upo kama unaamini, kama huamini ni sawa, na wanaoamini pia wapo sawa kwa imani yaoHapana hiki ni kizazi cha kuhoji hakiwezi kuyaacha mambo yapite tunaitaji kulijadili hili
Hakuna maarifa hapo ni ujinga tu,mosi,hao makasisi kujipa daraja la umungu kwa wafuasi, mentality inayomchanganya ruwaichi kuona kondoo wanapoteza utiiIsome kwanza doctrine ya dhana ya kuungama utapata maarifa mengi
Duh ! kama ndio hivyo basi inasikitisha sanakwenda kufanya kitubio yaani ukamwambia Padiri makosa yako yote uliyomkosea Mungu kama kuzini,kuiba halafu baadaye akakwambia nimekusamehe
Akili za MTU mweusi,watu wanatengeneza, AI, EV,(gari za umeme), bslistic missile, Magari, ndege, wewe unawaza dini! Basi nenda kazungukd jiwe Mecca, na kulipiga mawe,Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?
Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
Unapoambiwa ukweli usiukwepe inawezekana ikawa ndiyo njia yako ya kupata msaada,usifanye kitu ambacho hakina majibu mazuriSometimes huwa najiuliza, kwa nini mnapenda kufuatilia dini ambayo siyo yenu... Au ndo dalili zenyewe za kutokuwa na akili kichwani?? 🤔 🤔 🤔
Hata wametoka tulikota huku kumbuka CCM ndiyo inayotucheleweshaAkili za MTU mweusi,watu wanatengeneza, AI, EV,(gari za umeme), bslistic missile, Magari, ndege, wewe unawaza dini! Basi nenda kazungukd jiwe Mecca, na kulipiga mawe,
HUO NI USENGENawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje?
Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa yuda naye huwa anaungama samahani lakini
NILISHA WAAMBIA WAISLAMU NA WAKRISTO KUWA UKISIKIA NENO DHEHEBU AU MADHEHEBU TAMBUA KUWA HUO NI UPUMBAVU MKUBWA SANA ...HATA HAYO MAMBO YA KUUNGAMA DHAMBI KWA KIONGOZI WA DINI NI MAFUNDISHO YA MADHEHEBUNI...NI UANITHI MKUBWA SANA WA AKILI.Hakuna maarifa hapo ni ujinga tu,mosi,hao makasisi kujipa daraja la umungu kwa wafuasi, mentality inayomchanganya ruwaichi kuona kondoo wanapoteza utii
Pili ni njia ya kukusanya taarifa,ukachero,ukizingatia kanisa lilikua serikali huko mwanzo,ungama ujambazi,miezi sita umedakwa
Zambi???Kutubu ni kufanya nini?
Zambi ni zipi?
Tukipata haya majibu tutajua kama ni sahihi