binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Niliona clip, Waasi wa Capodelgado walimbaka mwanamama, wakamvua nguo halafu wakamwambia akimbie huku wakimmiminia risasi anakimbia kwa kupepesuka mwisho akaanguka wakammalizia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kawaida tu naona, au linashida aisee ?Kwann unajiita muhuni
Muhuni ni mtu asiye na tabia nzuri au heshima kwa wenginekawaida tu naona, au linashida aisee ?
Kanitag kwenye huo uzi nami nikaone mkuuNimeona video moja leo humu kwenye uzi wa picha cha viruko, watu wamemkata mtu kichwa, wamemchana tumboni mpaka kifuani kama afanywavyo mbuzi, ogarns zote za ndani zinaonekana na wanaonekana wako busy wakiendelea na zoezi wakiwa hawajali kabisa. Mpaka sasa najiuliza huyo mhanga sijui ilafanya kosa gani hadi afanyiwe hivyo...
Share uo uzi tuone video.Nimeona video moja leo humu kwenye uzi wa picha cha viruko, watu wamemkata mtu kichwa, wamemchana tumboni mpaka kifuani kama afanywavyo mbuzi, ogarns zote za ndani zinaonekana na wanaonekana wako busy wakiendelea na zoezi wakiwa hawajali kabisa. Mpaka sasa najiuliza huyo mhanga sijui ilafanya kosa gani hadi afanyiwe hivyo...
Kanitag kwenye huo uzi nami nikaone mkuu
Watu mna mabalaa, ngoja nikacheki kama bado ipo niwatag maana mods wakiiona ile lazima waifute. Inatisha sana...Share uo uzi tuone video.
oooh kumbe, japo ninatabia njema na heshima na adabu, but sina mke bado hivyo still nastahili kuitwa muhuni tu.Muhuni ni mtu asiye na tabia nzuri au heshima kwa wengine
Au asiye na mke au mume
Binti Marcy umeenda mbali mpaka kumuita mtu asiye na mke Wala mume muhuniMuhuni ni mtu asiye na tabia nzuri au heshima kwa wengine
Au asiye na mke au mume
Kafanywaje?Lecture mmoja wa SUA.
Kitendo cha ma prophet kukusanya sadaka zetu na zaka na kununu gari gari za millioni 200. Bila hata kutupa sisi gawio letu na kutuacha kwenye umaskiniTupe ushuhuda wako
Kuna baadhi ya MAPDRE wana ROHO MBAYA sio poa.Niliona clip, Waasi wa Capodelgado walimbaka mwanamama, wakamvua nguo halafu wakamwambia akimbie huku wakimmiminia risasi anakimbia kwa kupepesuka mwisho akaanguka wakammalizia.