Ni hali gani ulikutana nayo ukakubali kwamba kuna watu wana roho mbaya extra?

Niliona clip, Waasi wa Capodelgado walimbaka mwanamama, wakamvua nguo halafu wakamwambia akimbie huku wakimmiminia risasi anakimbia kwa kupepesuka mwisho akaanguka wakammalizia.
 
Kanitag kwenye huo uzi nami nikaone mkuu
 
Share uo uzi tuone video.
 
Nilitoa pesa bebe ake ikiwa hoi hospital nilimbeba aliposhindwa kulipa ghalama za maisha Kodi mtaji nk nilikubali aishi kwangu ilihali nilikua na chumba kimoja nilitoa pesa ya mtaji x2 kwake nikiwa sijawekeza popote life goes on nilicheza part kiasi aludi kazin damn nikaamini nasaidia mwana hata asipo nilipa bless tu
Mwaka mmoja mbele kaongea uongo mbele ya ndugu zake mimi ndo chanzo cha ndoa yake kuyumba mimi namcheka coz kaludiana na mkewe damn imenialibia kisenge
 
Kuna kampuni moja ya ulinzi nilikuwa nafanya kazi pale kama secretary naye alikuwa ameingia mkataba na wachina walikuwa wakija ofisini wananipa baadhi ya kazi zao nawafanyia. yule jamaa alikuwa ananilipa laki mbili kwa mwezi wale wachina wakataka kunichukua wanipe laki 6 na nusu lakini aliwaambia atawatafutia mtu mwingine mzuri zaidi ya mimi. hapo ndo nilijua watu ni wabaya. na sasa hivi nikiona secretary wake anashindwa kuchapa hata barua mara anipigie simu nimsaidie huwa namwachia Mungu tu.
 
Wanasiasa, viongozi wa dini, walokole, maprofesa na wakufunzi wa vyuo, manesi....polisi na wengine siwataji....lakini hawa ni kama wnaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…