Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara
Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia hatua ya ndani ya miezi miwili mitatu naye aanze kuitwa bonge
Niwe muwazi wife wangu si mtu wa kukunja kunja sana uso au kunununa nuna kama walivyo wanawake wengine kwahiyo baada Mimi kupunguza vile vimatukio vya kumkwaza na kumcheat furaha yake imerudi kama ilivyo kuwa mwanzo.
Amekuwa ni mtu wa kucheka hata kwa vitu visivyochekesha,kunipiga makiss ovyo na kunupamba pamba kila Mara.
Sasa sijui ndio nimepata na hali gani,eti najikuta simfurahii kabisa wife wangu kama nilivyokuwa nikimfeel kipindi kile alipokuwa mtu wa machozi mseleleko & kukondeana kwa mawazo.
Na ninahisi hali hii ikiendelea naweza kufikia hatua hata ya kumrudisha kijijini kwao aende tu akakate mkaa maana hamna jinsi.
Sasa kwa warume wenzangu mlioko kwenye ndoa muda mrefu je hii hali na nyie ilishawahi kuwatokea au ni maradhi yangu peke yangu.
Kingine je hapa uchawi haujahusika kunifanya niwe katika hii hali