Ni hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya

Ni hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.

Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na taratibu za taaluma zenu. Matamshi yakitolewa na mtaaluma huchukuliwa kwa uzito zaidi kuliko yakitolewa na mwanasiasa.

Waacheni wanasiasa walumbane wao kwa wao pasipo kuwaingilia na kuwasemea. Siku mambo yakiharibika wanasiasa hao hao mliokuwa mnawasaidia watawaruka.
 
Wenye akili wamekaa kimya wanasema wao hawafungamani na upande wowote, wanachofanya ni ku tweet message za wahenga za kizungu tu tena mara moja kwa mwezi ajulikane tu kuwa na yeye bado yupo, wajinga ndio wanapewa vyeo kutokana tu na ujinga wao. Ni dalili mbaya sana.
 
Wata tajana tu
EjG7GTkXcAUTrQE.jpg


SUBIRI KIDOGO
 
Back
Top Bottom