Jiongeze,,,analishwa maneno na kutishwa na miamba iliyonyuma yake hivyo yeye hapo anachokifanya ni kutetea ugali wake tuMkurugenzi wa tume siku hizi ana uwezo wa kuamrisha wananchi wapigwa mabomu?
Amesema kweli kabisa
Naona mmempa refa acheze No. 12!!Amesema kweli kabisa
Ni mpiga kelele ambae inabd apuuzwe cc October 28 tunalo jambo letu na ole wao waende kinyume na matokeo ya wananch The Hague inawaitaUyu ni mpumbavu yani wamebanwa had refa anaamua kukaba aibu kabisa na likichwa lake kma bamia