Ni hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya

Kwa hii Statement tu! Inatosha kumfikisha ICC. Na ya kutokea hayo aliyosema kesi ikifika kule ajiandae tu kuwa mfungwa!
 
Afadhali yule Babu wa 2015, alijua nini aongee, huyu wa sasa anateleza sana kwenye maongezi, nadhani hii ni mara ya tatu hivi anaongea na anakuwa wazi kabisa kuwa ni wa upande gani.
 
Kwa hii Statement tu! Inatosha kumfikisha ICC. Na ya kutokea hayo aliyosema kesi ikifika kule ajiandae tu kuwa mfungwa!
Kuna mambo mengine viongozi wetu huwa wanajitakia unaweza kuta hapo hajaagizwa na mtu bali anataka kumfurahisha aliyemweka pale..
 
Hajui chochote kuhusu uchaguzi na ustaarabu wa demokrasia
 
sisi ni wananchi wa hapa.tunapenda mikutano ya kampen ifuate ratiba kutokuleta ukiukwaj wa kanuni. ukileta matusi hatuji kwemy mikutano yenu
 
Chadema ikichukua nchi huyu atafutwe awe mfano
 
sisi ni wananchi wa hapa.tunapenda mikutano ya kampen ifuate ratiba kutokuleta ukiukwaj wa kanuni. ukileta matusi hatuji kwemy mikutano yenu
Kuna fiesta inafanywa na CCM unaweza kuifuata.
 
Hiki kichwa nundu kinafanana na cha naniliu
 
Dr. Mahera piga kazi.
 
Mahera huwa ajiamini Kama barua tu anasoma kwa kutetema akiwa na hofu ndo ataweza mtangaza mpinzani mshindi. Safarii hii kura za uraisi zihesabiwe live ili kuepusha udanganyifu na shaka zozote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…