Ni hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya

Sasa mkurugenziccm wa NECCCM Tumeccm anamwamrisha IGP kuumiza watanzania kwa mabomu? Nchi hii haitaisha vioja, hapo huyo mjinga mahera yupo NECCCM je? angekuwa ni waziri wa mambo ya ndani si angetangaza chadema wauawe wote? Katiba mpya inahitajika haraka
 
Mahera ashitakiwe ICC mapema iwezekanavyo maana asipodhibitiwa mapema atasababisha umwagaji damu mkubwa
Tayari yupo kwenye list, dunia inaona, dunia imechoka gharama za kuhudumia wakimbizi sababu ya vibaraka wachache
 

Attachments

  • Screenshot_20200930_112839.jpg
    89 KB · Views: 10
Polisi hawana uwezo wa kuwapiga mabomu watz wote waulize Mbeya.
 
Heri kupigwa mabomu kuliko kuteswa tena miaka 5.Hofu Ni kwamba mzee wa visasi atamaliza watu this time
 
ushenzi huu haukubaliki mwaka huu vihegi lazima,wananchi wameshawachoka,
 
Tume inataka kuwachagulia watz wawakilishi wao hii haikubaliki, Hawa vichwa nundu wametumwa kuvuruga amani yetu
 
Heri kupigwa mabomu kuliko kuteswa tena miaka 5.Hofu Ni kwamba mzee wa visasi atamaliza watu this time
Watu wameanza kuzoea mabomu angalia hapa yanapigwa watu hata hawakimbii.
 
RPC Nshana alikuwa mnene mwene afya nzuri Sana, lakini leo hatuko nae haya yote ni mapenzi ya mungu, kutokutimiza wajibu wako kwa haki manunguniko ya watu humfikia Mungu.
 
ICC inamwita , Jiwe ataenda the Hague na kundi kubwa sana la watu .
Kwa hii Statement tu! Inatosha kumfikisha ICC. Na ya kutokea hayo aliyosema kesi ikifika kule ajiandae tu kuwa mfungwa!
 
Chapa kazi Mkurugenzi. Nchi haiwezi kwenda bila utaratibu. Uchaguzi hauwezi kufanyika bila utaratibu kufuatwa.
 
Kwakweli Lisu amevumiliwa sana sasa inatosha.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Jeshi Ni Mali ya wananchi linasimama na maamuzi ya wananchi, wanaodhani litawatii kuvunja haki za watz kuwachagulia wa kuwaongozea wakapimwe akili. Uzuri awajawaongezea mishahara 5 yrs hapa patamu Sana.
 
Hapo ndipo maswali yanaanzia ,anaye toa amri kwa polisi no mkurugenzi?na Kama ni hivyo au la je wawili Hawa walijadiliana na kuafikiana kufanya hivyo,Kama ndivyo .he kulikuwa na ulazima? Na he hii itakuwa kwa pandezote zitakazo enda kinyume na vilewanavyopaswa kufanya?
 
Mkurugenzi wa tume siku hizi ana uwezo wa kuamrisha wananchi wapigwe mabomu?

Mtu yoyote mwenye mamlaka fulani ndani ya nchi hii anaweza agiza baya lolote wafanyiwe wapinzani, maana ndio furaha ya rais. Hivyo yoyote mwenye mamlaka fulani akitoa amri yoyote ovu dhidi ya mpinzani, anakuwa kajiwekea mazingira mazuri katika kibarua chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…