Ni hatari sana kutumia simu hasa kuchati ukiwa barabarani

Ni hatari sana kutumia simu hasa kuchati ukiwa barabarani

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Nazungumzia hizi busy roads za mijini na sub urban.

kuna watoto wa.mjini wanajikuta wao na simu ni Alpha Na Omega. Hawatenganishwi na Tecno zao.

Nawaasa sana unapokuwa katika movement barabarani, kama una sms ama simu muhimu sana ya kujibu, simama pembeni kwenye usalama malizana na mtu kwenye simu.

Kisha tunza simu yako endelea na safari.

Utajiepushia ajali zisizo na uelekeo na kupokolewa simu na vibaka

Ndugu zangu zipo kesi nyingi sana za vijana kugongwa na magari, baisikeli, bodaboda, bajaj n.k sababu ya simu.

Please share...
 
Back
Top Bottom